Picha saaaafi ya ukumbushoKwisha nguvu kabisa ila unajikaza tu kiume uonekane
😂😂mkuu unamwitwa meji kabisaa dah 🤦anaweza pasha kiporo badae lablaSasa utafanyaje mkuu tena unamuheshimu kweli kweli shemeji yako mpya🤣🤣
😂😂😂hiyo ndo ile mtu akikwambia "ushindwe na ulegee kila mahali." Unalegea namna hiyo .
Sasa hili pozi la kukaa chini ndio miguu iliishiwa nguvu au?
Amenoga kweli 😅Picha saaaafi ya ukumbusho
hiyo ndo ile mtu akikwambia "ushindwe na ulegee kila mahali." Unalegea namna hiyo .