Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Zack Snyder

Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
83
Reaction score
297
Nilikuwa najiamini kuwa mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.

Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wadhaifu sana moyoni. Leo kanimwaga mpenzi wangu nimpendaye, nimelia. Chakula mpaka muda huu hakipandi kabisa nawaza mawazo ya kufa. Naona bila yeye maisha hayaendi wakuu, Nimeshikwa na Homa kali mie sielewi hizi siku nitaishije.

Nisaidie wakuu ushauri nimrudishe nateseka mno. Wanawake kuweni na huruma basi kwetu tunaowapenda.

Nifanyeje jamani?
 
Mimi nikiwaga ktk pito la namna hiyo ili niondokane na huo msongo wa mawazo basi nigegedane tu ndio mawazo yatamsahau after mgegedo ki ukweli napataga

maujasiri kama van dame namm namtumia na msg kbsa huko aliko Nenda mwana kwenda so mkuu kwasaivi dawa pekee niliyoithibiitsha n hiyo mkuu,tafuta yule anaekusumbuaga sanaaaa wewe humtaki LEO kamtunuku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom