Dharau, kuto kulala nyumbani na kukuta meseji za mapenzi kwa mkeo kunastahili adhabu gani?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.

Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane.

Kiafrika zaidi hizi ishu tunasolve vipi?
 
Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale nke wako amapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.

Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane.

Kiafrika zaidi hizi ishu tunasolve vp
Nendeni kwa baba paroko
 
Unampa onyo kwanza ikiwemo kumrudisha kwao kwa muda kadhaa ili akajifunze.
Kama hajirekebishi, oa au tafuta nyumba ndogo yenye hadhi ya mke kabisa huku ukiwa unaandaa taratibu za kuachana naye.
 
Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.

Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane.

Kiafrika zaidi hizi ishu tunasolve vipi?
Kipigo cha mbwa koko itapendeza.
 
Aisee jana mtu kasema anaenda kwa rafiki yake karudi amechelewa na hakutaka aingiliwe. Hii ina maana gani wadau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom