mapenzi

  1. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza...

    MUNGU umeumba vitu vyote kwenye ulimwengu huu,ukavitakasa na ku vibariki lakini Kati ya viumbe vyako vyote,kuna huyu kiumbe bin Adam, ulimuumba kwa namna ya pekee kabisa, Kuanzia body appearance nikimaanisha utendaji kazi wa viungo vyote pamoja na kumpa akili na maarifa. Pamoja na yote hayo,ipo...
  2. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Beyond Love (Zaidi Ya Mapenzi)

    Simulizi: BEYOND LOVE (ZAIDI YA MAPENZI) Mwandishi: 2JIACHIE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 YA 50 Tom aliheshimika na kutisha, hakuna mtu aliyechezea shughuli zake kutokana na uhusiano mzuri aliokuwa nao na viongozi Serikalini, akiwa mdhamini wa Chama Tawala. Hakuna mtu ambaye...
  3. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mapenzi

    Habari zenu mabaharia wote mliomo humu. Mara nyingi mtu akiita mabaharia jinsia ya kike huwa wanajiweka pembeni sasa sio kwa salamu yangu,mimi nimewalenga nyote. Sasa niende kwenye kaburi langu halafu nione kama nitatoka au nitafiamo mazima. Naita kaburi kwa sababu ni kazi ngumu sana kueleza...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu ni...

    Mapenzi kwangu ni uchoyo! Ndio ni uchoyo kwa maana ni nafasi ya kuwanyima wengine na kumpa yule special wako ambae ndio kiberenge wa moyo wako!. Mapenzi kwangu ni utimilifu, utimilifu wa kimaumbile baina ya me na ke. Utimilifu ambao huongozwa na ukiherehere wa hisia tamanishi, hisia zenye...
  5. 2019

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa. Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni jukumu lake na lazima apate heahima kama Mungu alivyoagiza. Umejitambua unataka sasa...
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio SI Units za kujipatia mapenzi motomoto mjini

    Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo. Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo: 1.Pesa, Penenge, Mpunga, Ngawira, Mtonyo, Shekeli, Mshiko. 2...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tangu tufanyie mapenzi kwenye boma lake, ilikuwa kama tumetia nuksi jamaa kashindwa kabisa kupaua hadi leo mwaka unaenda wa tatu

    Siku moja katika matembezi jioni nikiwa na mpenzi wangu, Ikatokea tukatekenyana tekenyana zikapanda! Ilikuwa mida ya saa mojamoja tukasogea kwenye nyumba moja iliyokuwa katika hatua ya ujenzi wa kenchi! nikamuinamisha tukapiga gemu tukasepa. Leo tumepita njia ile mwaka wa tatu sasa, demu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  9. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

    Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate. Nikavutiwa na confidence yao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  11. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

    Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kanisa Katoliki linawaalika Wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi ili washindi wapatikane kihalali!

    Baba askofu Ruwaich wa Kanisa Katoliki jimbo la DSM anawaalika wananchi wote wenye mapenzi mema kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani tukizingatia ukomavu wetu, Upendo wetu na nidhamu ya hali ya juu. Naye Katibu wa baraza la maaskofu Dr Kitima amewaomba wananchi kutumia haki yao ya kikatiba ya...
  13. James Martin

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wanawake wa bara hawajui mapenzi?

    Nimesikia mara kazaa kuwa wanawake wa bara wako nyuma kwenye mambo ya mapenzi. Binafsi nafikiri hili ni swali gumu kulijibu ingawa linaweza kuwa na ukweli ndani yake. Karibu ujana wangu mwingi nilikulia jijini Dar es salaam. Nikiwa jijini Dar nilipata fursa ya "kuwajua" wanawake mbalimbali...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wanawake huanza enjoy Mapenzi kuanzia kwa Mwanaume wa Tatu na kuendelea

    Utafiti huu nmeufanya kwa wanawake zaidi ya 100 wengi wanakiri hawakuwa waki enjoy mapenzi na their first boyfriends. Mpaka kuanzia wa tatu na kuendelea au wa pili. Kisaikolojia image ya tendo la siku ya kwanza hubaki kichwani na kuonesha hali ya maumivu kila wanapoingilia kimwil hujenga picha...
  15. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitakufanya useme namshukuru Ex-girlfriend/Ex-boyfriend?

    Habari za mchana ndugu jamaa na marafiki,😊natumai mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Unajua si kila Ex anakuwa amekufanyia mabaya tu, si ndio e Ehee. Kama mlimaliza kwa ubaya basi kuna mazuri mengi yalishatangulia. Hebu tuambizane mbali na zile moments za kupiga...
  16. FYATU

    JamiiForums Tanzania Je, Mume na Mke kushirikiana kwenye ugomvi wa ndugu wa upande mmoja ni Mapenzi au ni ukosefu tu wa maadili?.

    Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake. Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo...
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

    "Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
  18. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

    Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha tatu, nilipofika kidato cha tano ndio nilikutana na changamoto, lakini sikulazimisha nilikaza nikaendelea na maisha kiasi ambacho badala ya kuumia mimi akaumia aliyeniacha Tangu hapo nilijifunza, kwamba nikiwa kwenye mapenzi nifurahie tu moment ambayo...
  19. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenilevya(Love Hangover)

    Mapenzi ni kama kahawa,ladha yake ni nzuri yakiwa ya moto,lakini yakipoa ni raha na karaha.Viola, msichana mrembo mwenye mguso wa ajabu kwenye mioyo ya wanaume,anahaidi kuolewa na John Balisidya,kijana fukara mwenye mapenzi ya kweli na ahadi za kufurahisha masikioni.Wanavalishana pete ya uchumba...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kahawa huongeza hamu ya wanawake kufanya mapenzi

    Imethibitika Kahawa huwaongezea wanawake ashki ya kujamiiana..! Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaowategemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa sababu, imebainika kwamba, kahawa inafanya kazi...
Back
Top Bottom