Kwa kweli mapenzi ni upumbavu sijui kwanini yaliletwa duniani .
Nimeshuhudia watu wakiteseka na kudiriki kujiua kisa tu mapenzi. Baba mkubwa huko kijijini alikuwa na mke mkubwa baadae akafariki kwahiyo ikabidi aoe mke mwengine ambaye alikuwa binti mdogo.
Yule binti kazi yake ilikuwa kuwatesa...
Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM
Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao.
=====
Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona...
Una Rafiki yako wa karibu tu na anajua kuwa una Mke na pia Mkeo naye anajua kabisa kuwa huyo Jamaa ni Rafiki yako mkubwa tu, ila ikatokea Rafiki yako wa Karibu 'akakutongozea' Mkeo na Mkeo naye pia 'akamkubalia' na 'wakafanyana' kwa raha zao. Je, ikitokea ukaja 'Kugundua' tukio hilo la 'Kuumiza'...
Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza/anaweza kuyabeba na kuyavumilia.
Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa.
Kuna watu wanadhani mfano mwanaume...
Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu nimpita bila kumtambua."jamani Denis ndio hunioni au unajifanyisha." dah!
Nilishangaa sana nikawa...
Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika.
Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume...
Ukaribu unaua hisia kweli kabisa.
Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda.
Ila baada ya wewe kuonana naye. Hisia zako kwake zinaanza kupungua kabisa na unajikuta unampotezea au mnabaki kuwa...
LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed.
.
This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True Love in Society and between Couples, enjoy it by watching now.
Najaribu tu kuukumbusha ubongo wako kidogo, jambo dogo ila ndio source ya mambo yote mabaya katika ndoa au mapenzi.
Usiwe na mahusiano ya kimapenzi na mtu unayempenda wewe huku hujajihakikishia kuwa anakupenda pia au la.
Kuwa katika mapenzi na mwanamke au mwanaume anayekupenda na si...
WanaJF
Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi.
Awe mnene
Awe anavutia
Awe rangi yoyote.
Asizidi 35.
Awe na shughuli yake.
Sifa zangu
Nina mwili wa wastan
Mweusi mtanashati
Nina miaka 27 sijaoa na nipo single na sina mtoto
Nina kazi yangu...
Mike Oliver mzungu toka UK, ni mtalii aliyetembelea nchini Kenya tangu mwaka mmoja uliopita. Mpaka jana 24 August 2020 baharia amethibitisha kutembea na wanawake 300 huko Kenya.
Ametoa uthibitisho huo kwa kutoa na kuchapisha picha za hao wanawake wakiwemo wake za watu, wachumba, watu wazima...
Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.
Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?
Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya...
Zama za leo wanaume tumekuwa tukilalamika kukosekana kwa mapenzi halisi toka kwa wanawake! Ni dhahiri zama zimebadilika,ule upendo halisi umefifia Ila haujapotea!. Kilichopotea ni kile ambacho hakipo kabisa! na kilichofifia ni kile kipo Ila kwa uchache.
Hatuwezi kuzungumzia mapenzi bila kuiweka...
habari za muda huu wakuu?
naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe.
ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.