The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.
2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni.
3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu.
Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
Hey, asalaam alaykm! Kwema kabisa comrades na makamanda humu?
Kwa jicho langu lenye uoni wa mbali naona kabisa Mama hakua na details na hii kesi inayomkabili mwanasiasa mkubwa na mkongwe nchini Kamanda Mbowe na wenzake. Kwa alivyokua akihojiwa na BBC, majibu aliyoyatoa kwa haraka haraka unaona...
Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
|Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa nchi.
Pili ,Uhuru & Usalama, anasema kuingia kwa Rais Samia ambaye ni mwanamke, hewa ya uhuru na...
Kweli Rau madukani acha paitwe Rau madukani.
Ni hivi,juzi nilikutana na dada mmoja mrembo sana pale Rau madukani anaitwa Reah.
Nikatupa ndoano akanasa fasta sana bila kusumbua hata kidogo. Tukapanga tukutane jioni kwenye dina ili tuzungumze kidogo.
Sasa kipindi tunapata dina bidada akaanza...
JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa.
Sheria nyingi za Taassis zinaonesha utaratibu wa kupatikana kwa viongozi wa Taasisi na nafasi za juuu.
Mfano...
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
Je wajua?
Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP
Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
Walimu wanaofundisha Shule ya Msingi Gole iliyopo Kata ya Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, wameiomba Serikali kuwasaidia ujenzi wa vyoo vya walimu kwa kuwa wanajisaidia na kuoga kwenye vichaka kwa kukosa vyoo bora.
Wakizungumza shuleni hapo juzi walisema kuna muda inabidi waingie...
Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu.
Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things.
Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk.
Watu...
Mume Unatakiwa Umzidi Mkeo Mambo Matatu:
1. Umri
2. Akili
3. Pesa
Mke Wako Anatakiwa Akuzidi Mambo Matano:
1. Subira
2. Usafi
3. Upendo
4. Mipango
5. Maombi
Mume na Mke Mnatakiwa Muwe Sawa Kwenye Mambo Matatu:
1. Maelewano
2. Uvumilivu
3. Heshima
Mbali na hapo tegemea ndoa ndoano.
Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.!
Mambo ye nyewe:-
* TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia.
* Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari.
* Simba na Yanga zimeshuka...
Nimefunguliwa akili na wanaharakati flani wa Iran wakiipa changamoto serikali yao. Wanadai Janga la korona limekwanyua uchumi wa nchi yao lakini katika sherehe za kitaifa wao wanaonyesha mambomu mapya waliyoyabuni badala ya maonyesho ya vile ambavyo serikali imefanya kuwaondoa katika wimbi la...
Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu ya ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2005, 2010, 2015 na 2020.
1. URAIA PACHA
Chadema itaruhusu...
Awamu ya tano ilikuwa na maupendeleo kibao. Mikopo ikawa inatolewa kwa watoto wanaosemwa ni wa walalahoi. Watoto wa tabaka la wafanyakazi - hata wale ambao mishahara yao ni kiduchu na haijapandishwa kwa miaka sita mpaka sasa, watoto wao wakanyimwa kukopa. Vigezo vya kutoa mikopo vikaangalia...
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda.
Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya.
Waziri Simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana...
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.