mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendelea kufanya makubwa. Yaleta mtambo wa 'PhotonAssay' unaotumia Roboti. Ni wa kwanza barani Afrika na upo Tanzania Pekee!

    Wanabodi, Mambo mengine wala hata hatujui Kiswahili chake, hivyo wale wenzangu na mimi ambao lugha za watu hazipandi, mnisamehe. NEWS OCTOBER 10, 2021 Barrick Commissions Africa’s First PhotonAssay Laboratory Press Release All amounts expressed in US dollars unless stated otherwise Bulyanhulu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

    1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu ) 2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu 3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada 4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali...
  3. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Mambo tata matatu, Uteuzi wa Jaji Kiongozi Siyani

    Uteuzi wa Jaji Siyani kuwa Jaji Kiongozi una sura tatu tata sana. 1) Ikiwa Jaji Kiongozi Mh Siyani atalazimika kuachia Jaji mwingine hii kesi ya Mh Mbowe, Athari za kuteuliwa jaji mwingine kwenye kesi hii ni kwamba ajaye anaweza kutoa maamuzi kwaniaba ya mamlaka za uteuzi ili nae apendelewe...
  4. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mambo haya?

    Website inayoitwa Diagel.com ni website kubwa ambayo inaongelea masuala mbalimbali kuhusu nchi zote duniani. Inapata taarifa zake kutoka vyanzo mbalimbali vikubwa, kama vile CIA, idara ya ulinzi ya Marekani, benki ya dunia, nk. Unaweza kusoma taarifa za Bwana Diagel mwenyewe HAPA. Utagundua si...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya chini ( hasa Vijana) wanapenda sana Kuigana katika Mambo yafuatayo?

    Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  8. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Wanaume, kuombwa pesa ni jambo kubwa kiasi hiki au mnakuza tu mambo?

    Vilio vya wanaume kuombwa pesa na wapenzi wao, naomba tu niseme wapenzi wenu, kama na wasio wapenzi wanawaomba basi mtasema. Ukipita pita mitandaoni katika post tatu haukosi moja inayolalamikia wanawake kuomba pesa...njaa is real mwokozi tuokoe sa tukamuombe nani....😔 Nnajiuliza kwani hili...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo usiyoyajua katika Nchi mbalimbali

    1. Hakuna herufi O kwenye mfumo wa usajili wa vyombo vya moto. Mfano: Huwezi kuikuta gari iko T340, COH. 2. China wanajeshi wa kike hawaruhusiwi kuwa na cheo zaidi ya captain (3 Stars) 3. Jeshi la Marekani hata askari hupigiana salute, huku Bongo salute ni kwa maafisa (Askari ni mwanajeshi...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  11. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Heri tungejadiliana mambo haya kwa moyo safi

    LEO nikisema dungadunga si salama Mtu anaweza kusema, “Ah, wewe mpinzani tu.” Lakini kama ningesema miaka kadhaa iliyopita kwamba, “Jamani, itakuja dungadunga ambayo itakuwa si salama” na nikataja mambo kadhaa yanayobainisha namna itakavyokuwa, halafu miaka 10 baadaye hayo yakatokea, ukisema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

    1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu. 2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya Damu ) tuachane nayo na sasa turudi katika ule Utamaduni wetu ambao Marehemu akina Mzee Bamchawi na...
  13. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein: Siri ya toleo la Qur'an lililoandikwa kwa 'lita 24 za damu' ya rais wa zamani wa Iraq- Dunia hii ina mambo mengi sana

    Mwishoni mwa miaka ya 1990, Saddam Hussein alimwendea mpiga picha akiwa na ombi la kushangaza. Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibakia kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya yatayo leta mabadiliko

    Uchumi na Biashara kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

    Ok
  16. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani, tuambieni Watanzania kuhusu Jeshi la Polisi

    Kwa ufupi sana: Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi: Je: 1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa? Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni? 2. Makomandoo wameenda...
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Mtaani kuna graduates wengi sana wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
  19. The Grace

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya Juu: Dondoo za Kuzingatia

    Ukweli uko wazi sasa na sio swala la siri tena. Maisha yetu yanategemea asilimia 30 akili ya darasani na asilimia 70 juhudi zetu na akili zetu za kuzaliwa. Nikiwa kama mwanafunzi wa elimu ya juu kuna mambo nimekuja kujifunza japo kwa kuchelewa ila nina imani ilikua wakati sahihi. Nikiwa kama...
  20. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kujua kabla hujaoa

    Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
Back
Top Bottom