Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi.

Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile umeanza tu mwenzako anakwambia naomba tena kolabo wakati huo huna mood wala hutaki, mnavutana unajikutana umepiga tena na huku mambo yako mengine yanaharibika.

Unalala haijapita nusu saa unaombwa tena na kesho asubuhi unatakiwa kuwahi mahali au kazini. Je mahusiano kama haya utayaweza? Je utaishije katika changamoto kama hii?

images (5).jpeg
 
Hivi mwanaume unachoka choka vipi.. mbon naona haiwezkan?? Au kias ch nguv z kiume tunatofautiana
 
Back
Top Bottom