Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
 
Screenshot_20211112-150733.jpg
 
Hakuna kesi Bali tamthilia ya ajabu ,Bora wangempa Gabo awatengenezee script , shame mnaibisha Jeshi letu la Polisi na Taifa?!
Ila kwa sabayaaa, mlichekelea mnoo. Tulieni na gaidiii ahukumiwe. Huuu ndo uhuru wa mahakamaaa
 
11.Ni katika kesi hii wanadiplomasia wanakuwa wahudhuriaji mahakamani.
12.Ni katika kesi hii kutumia gharama kubwa kuwachukua majaji nje ya vituo vyao vya kazi,ulinzi mkali wa mbowe huku tozo zinakatwa mitaani.
 
Ila kwa sabayaaa, mlichekelea mnoo. Tulieni na gaidiii ahukumiwe. Huuu ndo uhuru wa mahakamaaa
Hakuna anayefurahi,Bali tofautisha mazingira ya matukio na mwenendo wa kesi.
Hukumu ziwe jela miaka 30 au faini billioni kadhaa ndipo utaelewa nani alitenda makosa hayo.
 
Mtu mwenyewe ni gaidiii ataachwaje kuhukumiwa kama walivyohukumiwa akina sabaya?? Wasipotenda haki kwa gaidi, hatuwaelewiii
 
Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down
1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa shahidi na Mahakama haishtuki inaona Jambo la kawaida

2. Sahidi anaingia kizimbani kutoa ushahidi akiwa na simu, kalamu na diary bila mahakama kusema chochote na anaposhtukiwa mahakama inachukua diary inaahirisha kesi itasikiliza madhara ya hiyo diary jumatatu

3. Jaji anachukua diary ya shahidi bila kutaka kuweka rekodi kwa pande zote kwamba diary hiyo ilikuwa imeandikwa Nini na vilivyoandikwa humo ndani vinaathiri vipi kesi inaypendelea? Anapoulizwa kuhusu custody ya diary hiyo anasema itabaki mahakamani bila kufafanua ameichukua kwa sheria ipi na je anahakikishiaje mahakama na Mawakili wa pande zote kwamba jumatatu atakuja na diary aliyochukua mahakamani?

4. Naibu Msajili wa Mahakama anamwita Constable wa Polisi anamkabidhi nakala y barua itakayotumika kwenye kesi kama ushahidi bila kuonyesha kwamba Ni kwanini kwa cheo chake afanye kazi za maafisa masijala? Tunatambua wazi kwamba barua hazitoki mikononi mwa Msajili kwenda kwenye ofisi au taasisi au mtu binafsi bali zinapita masijala, unajiuliza hii ya leo imetokeaje?

5. Ni katika kesi hii ambapo majaji wote wanaosikiliza awafanyi maamuzi bila kujipa break ya muda flani

6. Ni katika kesi ambapo Jaji anakiuka maamuzi yake Mwenyewe lakini majaji wawili wanatoa maamuzi nyeti kwa kusukumwa na hisia binafsi

7. Ni katika kesi hii ambapo watuhumiwa watatu Kati ya wanane walitoa maelezo kwa ridhaa yao huku wakikataa kuita ndugu Wala jamaa lakini wakati wa kesi wameweka Mawakili.

8. Ni katika kesi hii unashuudia asilimia zaidi ya 90 ya mashahidi wanatoka chombo kimoja Cha seriakali ambacho kilituhumu, kikakamata, kikahoji na kuandaa ushahidi

9. Ni katika kesi hii unamkuta mkuu wa mkoa wa Arusha na Wilaya pamoja na vijana wao wanaondoka mkoani kwao wanakwenda kufanya- kazi mikoa mingine kwa kuaminiwa lakini watu hao awajawahi kubaini uhalifu uliokuwa unafanywa na sabaya katika eneo lao kazi.

10. Ni katika kesi hii ambapo aliyedai kutaka kudhurika kwa Sasa Ni mfungwa wa miaka 30 na aliyehusika kukamata ( Jumanne) amesimamishwa kazi kwa kuweka jino la tembo nyumbani kwa retired seniour officer wa serikali na mwakilishi wa nchi yetu kwenye mashirika ya kimataifa na baada ya kuweka meno nyara kwa kumbambikia wakamwelekeza awape milioni Mia moja na hata baada ya siri kufichuka hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa dhidi yake.

Thats my top ten issues kwenye kesi hii hadi Sasa.
Nimesoma huu uzi nimeshikwa na hasira sana
 
Pambanane huko mahakamani nyie si mnalipwa au mmekuja kutafuta huruma huko .eti Shujaa labada Shujaa wa ukoo wenu
 
Kwani 'thrller novel na movie' wewe unadhani hupatikana vipi?

Mkuu 'Beatrice' umetoa mhitasari maalum wa kesi hii ambayo kiukweli ni aibu kwa wahusika. Nikisema wahusika wa kwanza kabisa ni hao wanaojifanya kuigiza 'utawala bora' huku wakiwa hawajui maana yake ni nini.

'Maza Mizinguo' anajivua nguo kwa jambo ambalo angelitumia kujijengea heshima kubwa katika uongozi wake wa bahati nasibu aliyoiokota mtaani.
 
Sioni sababu yoyote ya kujitoa kwenye hii kesi, hawa form failures wameshindwa kukariri pumba wanazolishwa na mabosi wao, sasa wameona bora waingie mahakamani na diary kabisa ili wakasome "ushahidi" wote walioandikiwa na mabosi wao, bado kidogo wataanza kuingia na magazeti ya uhuru na mzalendo.
 
Back
Top Bottom