mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger. Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni...
  3. Ritz

    Maandamano ya Palestina jijini London yamfukuzisha kazi Waziri wa Mambo ya ndani UK

    Wanaukumbi. --- The PM moved to oust Ms Braverman as he tries to restore his authority with potentially less than a year to a general election. The sacking comes after an extraordinary week of rowing over handling of pro-Palestinian protests in London on Armistice Day. Ms Braverman drew the...
  4. N'yadikwa

    Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Tuna changamoto kubwa sana ya ukame miaka ya hivi karibuni hasa mikoa ya kanda ya kati. Pia, tuna changamoto kubwa sana ya ukataji miti. Upandaji miti ni suluhisho la kuitunza Tanzania ya kesho. Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ituongoze kwenye huu mpango uwe wa kitaifa. Wenzetu wameiweka siku...
  5. K

    Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

    Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
  6. Erythrocyte

    Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

    Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote. Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii? Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
  7. Chizi Maarifa

    Tumpongeze sana Rais. Hapa sasa kweli mambo ni mazuri

    kwa sasa huwezi kujua kama bwana zitto kabwe yupo Tanzania au hayupo . huyu mpigania haki zetu watanzania. kwa sasa haki anapata sidhani kama ana sababu tena ya kupiga kelele. ametulia hii ni ishara kuwa rais anatimiza anayoyasema. anatimiza ahadi zake. zitto namjua angekuwa hapewi haki...
  8. matunduizi

    Mambo ya kuzingatia kabla hujasoma Biblia

    1: Biblia sio kitabu cha kidini Sio kitabu cha kubishania, Ni maelezo ya Mungu mfalme aliyeumba sio tu dunia bali trillions za sayari zenye viumbe wasiohesabika. Hiyo lazima uyasome kwa adabu. 2: Usiende na ajenda yako mfukoni. Nenda kama mualikwa wa ikulu ya mbinguni kusikiliza hotuba na...
  9. benzemah

    Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
  10. matunduizi

    Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  11. Zee la madawa

    Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

    Vijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu. Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe...
  12. benzemah

    Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  13. OMOYOGWANE

    Adui wa maendeleo ya simba sio yanga wala TFF, adui ni kuamini ktk mambo ya kale kilimo cha pdf kipo simba

    Tupo zama za kidijitali, Hakuna uongozi wa hovyo kama huu wa sasa pale msimbazi, kuanzia uongozi wote mpaka mashabiki wana mzimu wa kimasikini( umasikini wa fikra). Mfano mchezaji flani alikua simba akaondoka akaenda aly ahly akatoswa kutokana na kushuka kiwango mnamrudisha wa nini...
  14. Erythrocyte

    Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

    Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli . Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80%...
  15. matunduizi

    Mambo 10 yanayokuchelewesha maishani

    1: Ubishi na ujuaji. ( Undevelopable mindset) 2: Kung'ang'ania kukaa sehemu hiyohiyo hata kama mambo yamegoma. 3: Kufunguka. Kutaka kila mtu ajue wewe ni nani na unanini. 4: Kulakula hovyo bila mpango. 5: Marafiki wengi ambao hawana mchango kwenye fyucha yako. 6: Kuwa na connection...
  16. S

    Tetesi: Rais Samia atavunja Barara la Mawaziri, Biteko atakuwa Waziri Mkuu na Mpina atapewa uwaziri ila mambo yatakuwa ni yale yale

    Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu. Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu...
  17. S

    Umewahi kuadhirika kwenye mambo ya huba

    Iliwashwa taa tupo ukumbini,picha iliyotokea malizia,ila nilikimbia mji miaka mitatu. Je umewahi kukutwa na usiyoyategemea ghafla bin vuw ?
  18. K

    Mbunge Joseph Mhagama: Sera ya Mambo ya Nje imesaidia ushindi wa Dkt. Tulia kuwa Rais wa IPU

    Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Tulia Ackson kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani...
  19. Kijakazi

    Ujerumani waombeni mambo ya Maana siyo Ujinga wa Ukoloni!

    Raisi wa Ujerumani anakuja Tanzania, Ujerumani ilianzisha nchi yetu kama tuijuavyo leo hii, ukiondoa Zanzibar, walichagua mipaka vizuri na kupata vitu vingi vya kipekee kama Mlima Kilimanjaro ambao 100% uko ndani ya mipaka yetu, Maziwa Mito na Bahari, tuna fukwe za Bahari ya zaidi ya km 1000...
  20. Mla Bata

    Mambo ya JF na zama zake

    Wasalam, Leo katika pitapita zangu humu jamvini nikakutana na andiko moja kutoka kwa member fulani (simkumbuki jina) akihoji ni muda gani watu wa jf hufanya kazi sababu wapo baadhi ya members (nikiwepo mimi mwenyewe) kila uchwao ni kukesha na kuzurula mitaa tofauti ya humu ndani, kiukweli...
Back
Top Bottom