The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
What are some things you should avoid at any cost?
1. Usipigane ukiwa dhaifu, ondoka ukiwa imara.
2. Epuka kulia mbele ya mtu asiyejali wewe.
3. Usitumie muda wako kwa mpenzi wa zamani au kumfuatilia kwenye mitandao ya kijamii.
4. Kamwe usijidhuru mwenyewe, ulimwengu utakuletea maumivu ya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.
Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa...
1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya?
Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
Habari,
Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
Niaje waungwana,
Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti.
Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha
1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations
2.Mitindo ya malezi, maana...
Wakazi wa Ngorongoro wamefurahishwa na tukio la kuzuiwa kwa Mwanaharakati Joseph Moses Oleshangay anaeishi jijini Arusha aliyeanzisha harakati za kujitawaza kuwa Laigwanan wa jamii ya kimasai katika mitandao ya kijamii na baadaye kupanga tukio hilo kufanyika ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
Kwa...
BRONX FAMILY - MAMBO YOTE.
"Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga na vikwazo kuviweka hawakusita kwa fikra zenye kugusa vichwa vya maadui toka 90s mawingu studio...
Mchengerwa anaongelea kushughulikia kerozipi kubwa wakati Mwenezi Makonda anakutana na watu kadha wa kadha wakiwa na kero lukuki mpaka zinaanzishwa kliniki za kusikiliza kero hizo?
Sekta zote zimevuliwa nguo na Mwenezi Makonda mpaka Mawaziri mnaonekana mifugo halafu unasema umefanya kazi kubwa...
Tukiangalia kwenye vitabu, watu wa imani wanamsitu wa ushahidi wa taarifa za kijasiri za watu kufanya mambo makubwa wakiwa na Mungu.
Cha ajabu katika uhalisia, hasa kwenye maendeleo tunaona no asilimia ndogo sana ya watu wanaotumia imani yako kuleta maendeleo ya kusisimua.
Leo ukienda...
1. Ayoub Lakres ameanza kulewa sifa
2. Che Malone Fondoh amekuwa beki mbovu sana kutokana na makosa ya kitoro anayofanya
3. Babacar Sarr asiwe anaanzishwa kwani leo timu ilikuwa na uhai sana kipind cha kwanza.
4. Simba haina viungo, wanawapanga tu kwa sababu ni wachezaji wa mpira.
5. Inonga...
Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku...
1: Nyota
Huu ni ushirikina. Kuamini mambo ya nyota ni kuamini mambo ya kishirikina. Stori za mtu kuchukua nyota ya mwenzake au kufunga nyota ni mbinu za kutia ujinga raia ili wawe wavivu.
Unakuta mtu amekaa kizembe ukiuliza unaambiwa eti alikiwa na nyota sana huyo imechukuliwa. Hizo story...
Habari za sasa hivi wakuu??
Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji.
Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
Salaam,
Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.