Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.

Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni wengi mno na wengi wao hawana hata mabegi, hii ni ishara kwamba watu hao si wasafiri, Bali ifahamike kwamba UYOLE ni miongoni mwa vituo vitatu vilivyoainishwa na CHADEMA kuwa sehemu ya kuanzia maandamano , Wananchi wengi wamechagua kuanzia maandamano yao kwenye eneo hilo, hii ndio sababu wananchi wanaanza kujazana mapema , zipo tetesi kwamba Mbowe au Lissu wataanzia hapa.
 
20231227_010622.jpg
 
Kwenye maandamano pia muwe mnawaambia, pamoja na kuwa na shida na CCM ila wafahamu maendeleo sio miujiza bali ni kufanya kazi kwa bidii kwa jasho na damu, kulipa kodi, kuwa waaminifu kwenye nchi yetu na kupendana wenyewe kama watanzania (haijalishi muislamu,mkristo, mpagani, mnyakyusa, mbondei, Mkwere, majukumu, mchaga nk)
 
Hapo kwenye kulipa kodi mioyo kama imekufa,

Maana nailipa huku nawaza Mwigulu na wengine namna watakavyoenda kuifaidi, inauma.
 
Kwenye maandamano pia muwe mnawaambia, pamoja na kuwa na shida na CCM ila wafahamu maendeleo sio miujiza bali ni kufanya kazi kwa bidii kwa jasho na damu, kulipa kodi, kuwa waaminifu kwenye nchi yetu na kupendana wenyewe kama watanzania (haijalishi muislamu,mkristo, mpagani, mnyakyusa, mbondei, Mkwere, majukumu, mchaga nk)
CCM ni kichaka
 
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.

Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni wengi mno na wengi wao hawana hata mabegi, hii ni ishara kwamba watu hao si wasafiri, Bali ifahamike kwamba UYOLE ni miongoni mwa vituo vitatu vilivyoainishwa na CHADEMA kuwa sehemu ya kuanzia maandamano , Wananchi wengi wamechagua kuanzia maandamano yao kwenye eneo hilo, hii ndio sababu wananchi wanaanza kujazana mapema , zipo tetesi kwamba Mbowe au Lissu wataanzia hapa.
Toka mmeanza kuandamana nisaidie faida tatu mlizopata
 
Back
Top Bottom