mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mpambanaji na ambitious mambo kama UTT, Bonds na Savings Accounts sio type yako, waachie waoga na watumishi

    Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg. Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile monthly returns ni lazima kwanza uweke hela kubwa sana, more than 500m, na incase ukiweka 1 billion...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  4. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa. 1. Wanaume na wanawake kidunia population...
  7. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  8. 100 others

    JamiiForums Tanzania Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

    Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha. https://streamable.com/m1vwpu Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa...
  9. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyafahamu kuhusu moyo

    1.Moyo ndio kiungo pekee katika mwili ambacho hakitulii katika maisha yote. 2. Moyo huanza kupiga wiki nne baada ya mimba kutungwa na hauachi hadi kifo. 3.Kila seli katika mwili wako hupata damu kutoka kwa moyo wako, isipokuwa kwa konea zako. 4.Moyo kwa wastani hupiga mara 60-100 kwa dakika...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mambo ni shwari Dubai

    Dubai Police took 7.4 million emergency calls in 2022. Najiuliza what is the number every day if you divide that with 365? Watu walikuwa wanauliza kwa nini viongozi wamekwenda na watumishi kutoka huku?
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi kutokuelewa mambo kwa haraka kunachelesha maendeleo Afrika

    Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa. 1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
  20. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
Back
Top Bottom