Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

Viwanja vya Wazi kuuzwa Holela.
Vituo vya mafuta makazi ya watu.
Ujenzi Holela wa ICD.
Upigaji kwenye miradi.
Wingi wa Wahamiaji Haramu.
Madawa ya kulevya kuongezeka.
Biashara ya Magendo kukithiri.
Bandari Bubu kuvusha mizigo bila kodi
Ukwepaji kodi kupitia GSM et al
 
Miongoni mwa mambo ya hovyo ni;
1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida
2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia
3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti
4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
Yani umeandika yote haya na kusahau kero kubwa ya kukatika kwa Umeme???
 
Viwanja vya Wazi kuuzwa Holela.
Vituo vya mafuta makazi ya watu.
Ujenzi Holela wa ICD.
Upigaji kwenye miradi.
Wingi wa Wahamiaji Haramu.
Madawa ya kulevya kuongezeka.
Biashara ya Magendo kukithiri.
Bandari Bubu kuvusha mizigo bila kodi
Ukwepaji kodi kupitia GSM et al
Naomba kirefu cha ICD
 
5. Wapumbavu wanaovaa kaunda suti na vibendera vya TZ kuuliza watu unajua mimi nani??

Kuna mbwa nimemvunjia windcreen ya vx lake asubuhi hii baada ya kunichomekea na kuchuna gari yangu, akaona haitoshi kashuka akapiga ngumi dirisha langu la kushoto.

Kama Mungu nilikuwa na rungu na mimi nikabutua kioo chake cha mbele na kumkosa kosa yeye mwenyewe na rungu la kichwa.

Kaishia kupiga kelele tu kuwa atanionyesha. Maana yeye ni kitengo nyeti.

Sasa wewe mbwiga niliekuvunjia kioo chako airport asubuhi hii elewa tu nimefika nilikokuwa nakwenda kwa salama kabisa.
Nishaulizia kioo changu kutengeneza ni pesa ndogo mno kulinganisha na windscreen ya land cruiser.
Kubabako na kaunda yako kama ulijifanya ni kitengo kumbe dereva imekula kwako.
Kubwa na la muhimu zaidi gari yangu ina dash cam ungese wako wote umerekodiwa, ikiwemo na sura lako na mkaunda suti wako pamoja na namba za gari lako.

Natafakari kuuza clip kwa Mange nipate pesa ya kutengeneza kioo changu. Ulitaka umaarufu, I will make you famous.
Duuuuh
 
Back
Top Bottom