Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

ha
Hemu wajuvi mnisaidie hivi inakuwaje swala la kumuabudu mwenyezi Mungu muumba wetu linahusisha na mambo sijui ya jihad mara kuchinjana nyuma ya shingo mara kujitoa mhanga? NI KWELI HIZI HEKA HEKA ZINA BARAKA ZA MUNGU?
Hawa huwaambii lolote linapokuja suala la Mungu/allah! use of higher mental faculties kuchanganua mambo wanaziweka kando.....
 
Uislamu hauhusiki na hayo mambo ,nakupa uhakika kame ungekuwa unahusika usingkuwa hata kidogo mpaka nchi za Europe.

Ishu ni moja tu unatakiwa kuusoma uislamu basi ...

Mpaka sasa marafiki zangu nao wamekuwa waislamu jaribu kukaa chini na kuusoma , uislamu haufuati idiols ni Qur na sunnah ...
 
ha

Hawa huwaambii lolote linapokuja suala la Mungu/allah! use of higher mental faculties kuchanganua mambo wanaziweka kando.....
Kwa hiyo unataka tufuate dini yako? Mbona hata ushawishi hauna kabisa 😅😅😅.

Tatizo lenu wapakwa mafuta mnaongelea humu kwa uoga mkivaa yale mashati ya satini na mchongoko ,miguu mnatembea kama mna funza ..

Ila mna madhehebu kama laki mpaka Mwamposa ji mtume 😅
 
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.

View: https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h

Mleta mada wacha uchochezi. Na nyie wachangiaji acheni ujinga. Huyo jamaa anasema ni madini yaliwapelka Iran na sio masuala ya dini
 
Mleta mada wacha uchochezi. Na nyie wachangiaji acheni ujinga. Huyo jamaa anasema ni madini yaliwapelka Iran na sio masuala ya dini
Huyu jamaa fanya kumzoea 😅😅hajawahi kuleta taarifa nzima ,huyo ni sawa n Max shimba ministries .

Unaweza kujiuliza mtu inakuwaje mpaka analeta porojo ili mradi kukashifu dini fulani? Halafu utasikia mpende adui yao.

Hao jamaa nakuambia ukifungua vifuani mwao wana chuki sana ,ogopa mkristo wana roho mbaya sana.
 
Sasa na wewe ndugu unaingia kwenye mkumbo wa huyo mleta mada kuendeleza chuki. Mimi ni Mkatoliki. Nimeona huo ujumbe na bila kuegemea upande wowote nikaweka maoni yangu
 
Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake.

View: https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h

Na nyie mbona kila siku mnashobokea wazungu hadi wanakuja huko mombasa kuwapandisha na mbwa ila hamkomi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ni upumbavu wa hali ya juu kuleta video clip isiyoendeana na unachodai. Jamaa kahojiwa kasema alichokifuata eti ni dhahabu wakati kila mwenye akili timamu anajua kuwa ni "punda".
Aliondokea Nairobi kama punda wa kubebeshwa mihadarati.Akanaswa ma kufungwa miaka 15.Akatumikia 10.
Background yake alikuwa ni utingo asiyekuwa na ujuzi wala elimu ya dini.Na amejieleza vizuri kwenye hii clip.
Kwa chuki zako unainasabisha na dini wakati haina uhusiano wowote. Yeyote anayesikiliza atajua ujahili wako.Na wafuata mkumbo .
 
Back
Top Bottom