mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Sijaunda Uzi siku nyingi ila nacomment za wengine naona watu wengi wanaamini vitu vingi ambayo ni uongo kutokana kukosa maarifa na pia kutokana na kujazwa ujinga na dini, tamaduni au hata wazazi wao. So Leo katika Uzi huu nataka ni list vitu vyote hapa. 1. Wanaume na wanawake kidunia population...
  2. Gol D Roger

    Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  3. 100 others

    Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

    Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha. https://streamable.com/m1vwpu Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa...
  4. Abby Uladu

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje

    Mwanamke usijichanganye mambo haya hayajawai kumtetemesha mwanaume hata punje. Ndugu yangu Sexless naomba nikurekebishe katika uzi wako uliotaka kuwaingiza mkenge wanawake unaosema..https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/48866649 Enyi wanawake, mambo haya hayajawai kumuumiza kichwa...
  5. BARD AI

    Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  6. Roving Journalist

    Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  7. Manyanza

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu moyo

    1.Moyo ndio kiungo pekee katika mwili ambacho hakitulii katika maisha yote. 2. Moyo huanza kupiga wiki nne baada ya mimba kutungwa na hauachi hadi kifo. 3.Kila seli katika mwili wako hupata damu kutoka kwa moyo wako, isipokuwa kwa konea zako. 4.Moyo kwa wastani hupiga mara 60-100 kwa dakika...
  8. matunduizi

    Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  9. Mhaya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  10. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  11. Poppy Hatonn

    Mambo ni shwari Dubai

    Dubai Police took 7.4 million emergency calls in 2022. Najiuliza what is the number every day if you divide that with 365? Watu walikuwa wanauliza kwa nini viongozi wamekwenda na watumishi kutoka huku?
  12. Mganguzi

    Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  13. Lanlady

    Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  14. N

    Wananchi kutokuelewa mambo kwa haraka kunachelesha maendeleo Afrika

    Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa. 1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
  15. Wizara ya Afya Tanzania

    Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  16. LIKUD

    Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  17. Mganguzi

    Bashe kilimo sio makaratasi, acha kuitumia BBT kuwapotezea muda vijana, ajenda yako hasa ni ipi?

    Mradi huu ni maono ya waziri Hussein Bashe, unaongozwa kwa mahesabu makali sana, tulijua kundi la kwanza litakaa field miezi miwili au mitatu kisha wagawiwe mashamba yao kama walivyokuwa wameahidiwa ili waende wakayasimamie wenyewe lakini mpaka sasa wamewashikilia na kuwaweka pamoja huu ni mwaka...
  18. F

    Mke wangu ananiweka njia panda

    Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake...
  19. B

    Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
  20. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
Back
Top Bottom