makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

    Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?" Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Msipindishe maneno, Makonda amemaanisha kuwa Mbowe na wenzake ni vibaraka wa CCM, huku sisi makamanda tukiumia

    Naona mnataka kujitoa fahamu na kutaka kupindisha maana. Mnataka kuficha ukweli kuwa Mbowe ni kibaraka wa CCM? Hamjui kuwa Lipumba ni kibaraka wa CCM? Zitto Kabwe ni kada wa CCM. Mtoa taarifa ni informer. Ndio Makonda kaweka wazi. Makanda wenye uchungu na nchi yetu tunaumia. Angalia mlinzi...
  3. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaula wa chuya! "Watu wanaopaswa kufa kwenye hii nchi ni wengi kuliko walio hai" Hii nchi ya Tanzania bila kuwa na kiongozi Katili,muonevu,mtoa amri za kutisha na asiye cheka cheka ovyo hatuwezi kusonga!. Mfano mzuri ni Chuma Cha Pua...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anaisisimua CCM na kuwazindua watendaji mazoea chamani na Serikalini

    Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini. Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia kazi. Viongozi wa Dini mniombee!

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amewaomba Viongozi wa Dini wazidi kumuombea ili mosi, amuheshimishe Mungu wa Mbinguni na pili, atimize majukumu ambayo Rais Samia anaamini atamsaidia. "Rais Samia alilibeba jina langu na kuingia nalo Kamati Kuu bila kujali kelele za chura akiamini nitamsaidia...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

    Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari. Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake. Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

    Kwa uteuzi, matamshi na hasa kama kuwaumbua viongozi wakuu nchini, Makonda anaenda kukisambaratisha chama CCM. Kwa sasa Makonda kampa Waziri Mkuu miezi sita kutekeleza majukumu yake. Kiprotokali Makonda ni mdogo sana, hawezi kumwamrisha Waziri Mkuu. Waziri Mkuu anasimamiwa na Mama Samia kama...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  11. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya watanzania ni yaleyale Makonda ukiyatimiza haya kijiji unachukua, Hayati Magufuli alipendwa kwa Haya

    Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mniwie radhi nilikosea kusupport ujio mpya wa Paul Makonda, huyu jamaa ni Lopolopo sana hana staha

    Makonda Makonda kwanini lakini tumia busara acha Lopolopo, Leo huko Dodoma kaongea utumbo, hivi huyu dogo anaweza kuwatisha wastaafu, bado anakivuli cha enzi za Magufuli et eeh. Jamaa tulidhani kajifunza hekima na ustaarabu kwa kukaa benchi kumbe ni jitu lenye uchuro tu. Makonda anaweza...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

    Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa. Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mavunde amuomba Makonda amfikishie salamu kwa Rais Samia

    Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde amemuomba Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho Paul Makonda kumfikikisha ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu maendeleo yaliyofanyika katika mkoa huo. “Ametufanyia kazi Kuba kwa Kuleta miradi mingi...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ninawajua wanaowalipa vijana kuwatukana viongozi mitandaoni, wakiendelea nitawataja

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

    Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

    Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake. # Paul Makonda (CCM); # John Mrema (CHADEMA); na # Salim Bimani wa ACT Wazalendo. Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo? Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana...
Back
Top Bottom