Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
3,765
5,676
Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?

Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.

Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.

Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.

Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.

Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
 
Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?

Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, o yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Unataka CCM ipendwe Ili CDM lini itwae madaraka?

Upinzani acheni kudandia HOJA!!
 
Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?

Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
" nitahakikisha nchi hii hakutakuwa na vyama vya upinzani kutakuwa na vyama vya kutoa taarifa Tu"


Voice of Baba Keegan......
1698594128328.jpg


Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?

chukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?

Mama Samiah kajiua kwa risasi yake mwenyewe. Anadhani anawakomoa CHADEMA kumbe anajikomoa mwenyewe. Baada ya CHADEMA kususia ule mkutano wa vyama mama akaona awakomoe CHADEMA kwa kumteua Makonda. Yetu macho
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom