Makonda: Ninawajua wanaowalipa vijana kuwatukana viongozi mitandaoni, wakiendelea nitawataja

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,977
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo

View attachment 2800205
Maskini Ben Saanane hakuwa na bahati ya kutajwa tu, kwa sababu alijulikana waziwazi.

Karma haina mchezo, acha ifanye kazi yake.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa hadhara katika mapokezi yake Jijini Dodoma amesema anawafahamu wanaowalipa vijana ili wawatukane viongozi mitandaoni wakiwemo viongozi wa CCM, Mwenyekiti, Rais Samia Suluhu, Makamu Mwenyekiti Bara, Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti Zbar, Dkt Hussein Mwinyi na Katibu Mkuu Daniel Chongolo

View attachment 2800205
Kweli tabia ni kama ngozi ya mwili
 
Shuzi limepataa mjambaji
Kwa sauti ya Le Prof Lipumba
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom