Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

Boi Manda

Member
Oct 26, 2023
30
36
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi

Lengo la kuunganisha matukio hayo mawili ni kutaka kuondoa wananchi wa tanzania kutoka kujadili mkataba huo na kuhamia kumjadili makonda

Lengo lao hilo la kijasusi limetimia kwa sababu mjadala wa uteuzi wa makonda kuwa katibu mwenezi wa ccm ndio ulioshika kasi zaidi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari rasmi kuliko mkataba wa bandari na dp world

CCM hawakuishia hapo wakamuelekeza makonda kuja dar es salaam ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa lumumba ili apokelewe na wanachama na wapenzi wa chama hicho

Hapo lengo la CCM ni lile lile kuondoa wananchi kwenye mjadala wa bandari na kuhamisha upepo wa mjadala kwa Makonda.

Pia Makonda aliteka kijiji cha wafuasi na mashabiki wa CCM hicho kwa kuingia lumumba na pikipiki na kuhutubia hadhara ya wapenzi na mashabiki zake na wa chama chake.

Aidha vyomba mbalimbali vya habari vilialikwa ili kuripoti tukio hilo kwa minajiri ile ile ya kuhamisha mjadala wa bandari

Na kweli waandishi na vyombo vya habari wamecheza ngoma iliyopigwa na CCM lengo lao limetimia ishu ya bashite imeshika kasi kuliko mkataba wa bandari na DP World

Pia napenda kuchukua nafasi hii kuweleza kuwa miye ndio post yangu ya kwanza humu jukwaani lakini ni mfuatiliaji mkubwa wa jukwaa hili la greater thinker naomba mnipokee kwa post hii ya kwanza hapa jamvini
 
Haya sawa!
Screenshot_20231029-074458.jpg
 
Your perception
 
Yuko na kazi maalumu
 
Back
Top Bottom