makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi CCM Paul Makonda aagiza Taa barabarani Zifungwe Bwanga na amezuia kamatakamata ya wauza mikaa

    📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo ni; 1 Malalamiko ya Wafanyabiashara wa Mkaa Chama Cha Mapinduzi kimemtaka Mkuu wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulipwa mishanara, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wameshindwa kutatua kero za wananchi mpaka Makonda aingilie kati!

    Hii inashangaza sana. Yaani wanakula mishahara ya bure tu. Wameshindwa kabisa kutatua kero za wananchi? Msemaji wa chama anahusika vipi na kero za wananchi?
  6. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Natafuta namba ya Paul Makonda

    Wakuu poleni na kazi. Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie. Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Paul Makonda hawezi kuisafisha CCM iliyochafuka kwa ufisadi.

    Wanachi wanalia kila kona kwa ugumu wa maisha. Kila kona ufisadi umetamalaki kila kona alafu mtu kama Makonda alete siasa za kwenda kuongea na wafu? Siasa za kupigia viongozi simu viongozi na kuhadaa kutatua kero zao wakati wameshaumia.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
  10. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

    Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025. Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!! JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
  14. SHANTI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

    Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM. Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
  16. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Paul Makonda siyo yake, ni ya taasisi "CCM na Serikali"

    Wanabodi, Salaam! Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti. Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua "CCM". So wkt wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 na 2020 wapinzani wakiwa Kagera, Dar, Arusha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Makonda anatukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko Serikali

    PAUL MAKONDA ANATUKUMBUSHA KUWA CCM NI KUBWA KULIKO SERIKALI Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Christian Makonda anafanya kazi nzuri sana ambayo kila mwana CCM na Mtanzania yeyote ambaye ni mpenda maendeleo anapaswa kuikubali. Makonda anatukumbusha kuwa Chama...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  19. saidoo25

    JamiiForums Tanzania ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kamati kuhusu ripoti za CAG kwa hesabu zilizokaguliwa za serikali kuu na mashirika ya umma kwa mwaka 2022

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 3, leo Novemba 2, 2023. https://www.youtube.com/live/Px2Csdrfk20?si=ydhC7gCMmMBrjxso === TAARIFA YA KAMATI KUHUSU RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA...
Back
Top Bottom