makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

    Hii namna ya uenezi inanitia hofu. Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya? Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania? https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Baada ya uteuzi wa Paul Makonda Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM: Fahamu hoja zake tano zinazopaswa kujibiwa badala ya kumshambulia mleta hoja

    https://youtu.be/IAut5DN7qE0 Tangu Paul Makonda alipoanza kazi baada ya kuteuliwa kuwa Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM mitandao ya kijamii imesema mengi juu yake na ofisi aliyoteuliwa kuitumikia. Maoni mengi yana sura hasi, baadhi wakiwa wanamtazama kwa kutumia miwani ya itikadi ya ujenitalia...
  4. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

    Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X.. Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo.. Lema Ameendelea kusema kuwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi Lengo la kuunganisha matukio hayo...
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Hongera intelejensia ya CCM kumuibua game changer, Paul Christian Makonda (PCM)

    Katika kipindi ambacho wapiga Dili wapo kileleni mwa zamu Yao baada ya kubanwa takribani miaka SITA ya mwenda zake,kelele na vilio vinasikika Kila Kona nchini kwa ubadhirifu na upigaji unaoendelea! Ilihitajika nguvu mpya chanya Ili kuenzi zama za awamu ya Tano kurudisha chama kwenye msitari...
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  8. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  9. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini. Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Makonda hatalipiza kisasi lakini waliomnyima Ubunge anawajua!

    Makonda kasema hatakwenda kulipa kisasi lakini mmmh!! Moyo sio kama mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, unaongozwa na ukweli na uhalisia; na ukweli na uhalisia vinaongozwa na matukio yenye kusababisha furaha au huzuni kwa mtu. Binadamu ana tabia ya kulipa furaha na huzuni/maumivu...
  12. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  13. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

    Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu. Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usafiri mpya wa Makonda si lelemama!

    Dalili zi wazi, Makonda nguvu yake kwa Samia ni kubwa. Ushahidi ni hilo gari ( LC 300 ) alilopewa ambalo hata Chongolo hana!
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la kiufundi alilofanya Paul Makonda leo

    Kitendo cha Makonda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi. Vitisho hivi vimetafsiriwa na wengi kana kwamba Makonda bado anasumbulowa na kiburi yes ueuri na ulevi wa madraka...
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
  18. B

    JamiiForums Tanzania WanaCCM mbona kila kitu tunamwachia Makonda ataweza?

    Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi? Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign. Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na promo. Kama anaweza kujipima basi ni leo. Waswahili husema Nyota njema huonekana asubuhi. Wanaccm...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

    Anasema hivi..... See new posts Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda. Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Makonda anaonyesha tabia zetu za ushabiki wa kitoto zinaturudisha nyuma

    Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana. Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni...
Back
Top Bottom