Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,956
4,146
Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda

Watu ukishawajua bhana, haikusumbui!
Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa!

Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu mfe ili maisha yaendelee?

Mlimsakama akiwa mkuu wa Mkoa wa Daresalaam, mkazushia ujinga mwingi na mliahidi mtamfikisha mahakamani, na sasa ni miaka mitatu hamjafanya hivyo, hii inaonyesha kwamba, nchi hii ina watu wenye majungu na wasiopenda wachapa kazi

Nani anayebisha kwamba, Paul Makonda ni kijana mchapa kazi, mbunifu na mfuatiliaji na hana masikhala linapokuja suala la maendeleo kwa ajili ya wananchi?

Mmemzushia mambo mengi na ambayo hayana ushahidi hata kudogo


Paul Makonda amekuwa nje ya serikali miaka mitatu huku enyi walanguzi wa siasa chafu, siasa za majungu na fitina mkilalama tu bila kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi yake

Wengine mlijiapiza kusema, ngoja baba yake akitoka madarakani, ataishia jela, wengine mlienda mbali zaidi kusema, Makonda hatoweza kuishi nchini baada ya kuwa nje ya serikali

Sasa yako wapi?

Na sasa kwa kibali cha awapaye wote ridhiki yaani Mungu, kapewa nafasi tena ya kuwatumimia wana ccm na wananchi, tayari mmeanza fitina na majungudhidi yake

Sasa nawauliza, mbona mnadhihirisha ujinga mwingi kichwani mwenu?, kwa nini mnaendelea kuvumilia tuwi la moto mioyoni mwenu huku mkishuhudia tena msiyempenda akiendelea kuwa juu yenu? Si mnywe sumu ya panya?

Mnashindwa nini kunywa sumu kudhirisha kile mioyo yenu imebeba na ilishishindwa kumuona Makonda akiendelea kupeta?

Taifa la wajinga sana hili?! Taifa la wepika majungu na ndiyo maana hatusogei!

Washamba sana nyinyi mnaoendelea kuumia juu ya Makonda! Na bado mtaumia sana! 🤣🤣

Makonda, goo goooo gooooo!
 
Bashite anafaa kuwa Rais wa Nchi,hii nchi iliyojaa watu wajinga na wenye vichwa ngumu bila Kipigo,Ngeu,Kuuawa,kutekwa na Mateso makali hatuwezi kufika!.

Ni Bashite pekee ndiye wakutuvusha hapa tulipo!
 
Back
Top Bottom