Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,734
Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X..

Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo..

Lema Ameendelea kusema kuwa Makonda anamtukio Ya uhuni na ukatili Tangu alipomfanyia unyanyasaji Mzee waryoba na hata matendo mabaya mengi aliyoyafanya akiwa RC

Lema Amesema kuwa Makonda ni mlaini sana kuliko hata maini na anaweza kufanyiwa Massage Hadharani Bure Coco beach na akamalizia "Easy yani na sauna ukapelekwa!"

Screenshot_20231029-083050.png
 
View attachment 2796403
Aisee
 
Mfungwa mtarajiwa tena? Sio kwamba katoka kifungoni?
 
HUYU LEMA NAYE HANA ISSUE SIKU HIZI AENDE TU AKAENDELEE KULEA MUME WAKE HUKO ALIKOKIMBILIA AKIJIFANYA ETI MKIMBIZI
 
Back
Top Bottom