makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Wanabodi Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Makanisa ya CPCT yafariji waathirika wa Maafa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameishukuru uongozi wa umoja wa Makanisa ya Kipentencoste Tanzania (CPTC) kwa namna walivyoendelea kuonesha upendo kwa kuchangia mifuko 500 ya saruji kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka Mlima...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya makanisa yanaweka mabango kuwaasa waumini wavae kwa heshima wakati kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi?

    Huku ni kukosa mafunzo sahihi ya sheria ya mavazi kwa viongozi wetu wa makanisa ndio maana wanalazimika kuweka matangazo juu ya mavazi, sisi wakristo inajulikana wazi kwamba kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kuna haja ipi ya kuweka haya mabandiko ? uliona wapi misikitini wanaweka matangazo ya...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, polisi wakamata mabomu ya magaidi yenye mlengo wa kiislamu yaliyokuwa yamepangwa kulipua makanisa

    Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha anachokifanya ni ibada kabisa kwa 'mungu' wake. ========================== Ugandan police foiled a bomb...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je makanisa ya upako ni viwanda vya mapepo?

    kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo. Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena. Wafanyamazingaombwe na waganga wengi...
  6. Cybercurex

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Makanisa ya Upako wa mafanikio

    Nimetafakari kwa kina kuhusu kuibuka kwa makanisa ya upako wa mafanikio. Kikubwa nilichogundua ni kuwa Tatizo kubwa ni umasikini na matatizo ya aina tofauti tofauti. Kwangu mimi ninaweza kusema kwamba kuibuka kwa makanisa mengi ya aina hii si ishara kwamba Wengi wanamtafuta Mungu saana, la...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukristo (Ukatoliki na makanisa washirika ) waliamua kuchinja watu?

    Kwanini ukristo kupitia ukatoliki na dini washirika iliamuru kushika upanga na kuchinja wale wote wasiowaamini huko Ulaya na sehemu nyingine duniani? Nakaribisha wajuvi wa mambo.
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Makanisa yasiyosajiliwa yanazidi 3000, yenye usajili kamili hayafiki mia ' Mwakipesile,anaonewa!!

    Ukiiacha mbali, KKKT, Catholic, Anglican, AIC, Mennonite, Philadelphia, Sabato, TAG, na EAGT, Makanisa mengine mengi yamepewa vibali vya Ministry na sio churchers. Ministry ni huduma inayomilikiwa na mtu Mmoja au ni maono ya mtu Mmoja lakini churchers ni missionaries ni taasisi ambazo asilimia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huu utititili wa makanisa una faida Gani wakati maovu ndo yanazidi kuwa mengi?

    Mi nilikili wingi wa makanisa uendane na kubadilisha tabia za waamini wao. Hebu fikiri hapa dar wizi, udokozi, ujambazi unaongeza daily na watu wanashinda makanisani, au kanisa ni fashion tu. I'm sure hata padre, askofu mchungaji akiipata fursa ya kuiba lazima aitumie kama ilivyokuwa kipindi Cha...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sisi KKKT tunayo Huduma ya alama kwa Viziwi, Katoriki na Makanisa mengine mnakwama wapi?

    Salaam Wakuu, Sisi KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani Katika ushirika wa Boko Jimbo la Kusini Magaribi, tumeadhimisha ibada ya siku ya Viziwi. Ibada inaongozwana Mkuu. Wa jimbo Mchungaji Godlove chagulilo. Wakalimani wapo kama wote. Je, Makanisa mengine mnakwamba wapi kuwahudumia watu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tazama orodha ya Makanisa duniani na mwaka wa kuanzishwa kwake!

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake. Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844 Karibuni tujadili na tupate elimu Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Geita: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili

    Geita. Mkazi wa Chato, John Marore anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili likiwemo la Mtakatifu Bernadetha wa Lurd Parokia ya Nyakato-Buzrayombo na lile la Waadventisti wasabato yaliyopo kata ya Buzrayombo mkoani Geita. Matukio ya uhalifu kwenye...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

    Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  16. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka yafuta makanisa matano Kenya

    Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa kwenye gazeti la Taifa amesema leseni ya Muhubiri Paul Nthenge Mackenzie wa kanisa la Good News...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  20. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
Back
Top Bottom