Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,607
93,385
Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar.

Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania nzima wamesomewa waraka huo leo.

Pascal Mayalla unajisikiaje kwa kuikana imani kwa sababu ya vipande 30 vya fedha?

Mama Samia anakwenda kuwaabisha wanafki na machawa wote, kesho asubuhi Rais anapewa brief na DG wa usalama wa Taifa
reaction ya Taifa baada ya waraka wa TEC na Rais anakwenda kulihutubia Taifa, watch n see, lisipotokea hili JF wanipige life ban.

Roma Locuta, Causa Finita Est.
 
Wakuu Natanguliza salamu , baada ya kuwasabahi naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Jana iliagizwa kwamba ndani ya Makanisa yote na Parokia zote za kanisa Katoliki leo Jumapili , waumini wasomewe Waraka wa Maaskofu wa kupinga DP WORLD kupewa Bandari za Tanganyika .

Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .

Screenshot_2023-08-20-11-04-36-1.jpg
 
View attachment 2722618
Ni Tanzania nzima siyo Dar peke yake ni mpaka vijijini pote pote kabisa, iwe karatu, kakonko au mtwara pote waraka umesomwa. Na ulianza kusomwa kwenye jumuia Jumamosi iliyopita. Hawa jamaa wapo vizuri mno
 
Back
Top Bottom