Tazama orodha ya Makanisa duniani na mwaka wa kuanzishwa kwake!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?
Sabato njema

Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake.

Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844

Karibuni tujadili na tupate elimu

Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru kurekebisha.

1695409008124.jpg
 
1,2,3.....FOUNDER YESU KRISTO.....HAO ULIOANDIKA MAJINA...NI MAWAKILI TU...WALIONDOA VIKWAZO....ILI MWANADAMU APATE...MESSIANIC BLESSING
 
Katika list yote hiyo ya makanisa hakuna hata moja litakalo kupeleka mbinguni! Huwa nawashangaa wasabato wenzangu ambao wanakomaa na sabato haswa naongelea SDA walakini kuna mambo mengi sana wanakingana na biblia

1. Viapo ili uwe mbatizwa na muumini wa kanisa ni vinashaka zaidi kuliko kitu chochote math 5:34

2. Alama ya msalaba kwenye nembo ya kanisa inahusisha na msalaba kuwa mrefu zaidi kwenye picha za graphic

3. Mitume wote walibatiza kwa jina la YESU KRISTO na sio kwa utatu mtakatifu


4. Kwanini uwekewe kwenye kiapo kumuamini elllen white kuwa n nabii wa Mungu?


5. Kuamini ya kwamba 1844 kuingia kwa Yesu patakatifu pa patakatifu jambo ambalo yy mwenyewe alisema yamekwisha kalvari ?

So kuna mengi tu ya kuhoji na kujiuliza kama SDA wanaohis wako sawa ni kweli? Au ishu ni kutunza sabato kama mafalisayo?
 
Hayo ni madhehebu kanisa ni mwili wa Kristo ndio maana kuna waanzilishi wa hayo madhehebu sio waanzilishi wa kanisa.

Ordhodox mara nyingi nimewasikia viongozi wake wakisema wao ndio madhehebu ya kwanza na katoliki walijitenga kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom