Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka

Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza ila wanawake wapo tayari kutoa hata Milioni, Huyo mchungaji wanakonunua maji anajulikana ni mhuni ila bado watanunua, ni rahisi sana kuchezea akili za wanawake (elewa neno akili, usianze kufananisha na zile za kukariri darasani kupata divishen 1).

Nayaongea haya nami nikiwa moja wapo, Kanisani sijaenda mwaka, ila bado kila siku ni lazima nisali na mara kadhaa napitia Biblia huku nikitia juhudu zaidi kuepukana na dhambi, Kwakweli nilichobakiwa nacho ni imani ila kwenda kanisani labda iwe mwaka mpya tu, imeisha hio !

Ukikemea wanakwambia acha kuhukumu wewe sio Mungu dini sio kigezo cha kukupeleka mbinguni muhimu ni imani yako, Nami nawaambia Mungu alishaweka sheria zake wazi za kutupa muongozo, kama tuna imani nae kwanini tukae kimya maovu na dhambi zinapofanywa na wenzetu katika imani moja ?

MAVAZI

Hakuna cha Waroma, Wasabato, Waluteri, walokole, mashahidi wa Jehova yani wooote wameliunga, Tena kuna hao walikuwa ni mwiko kuchonga nywele ila leo hii hadi wachungaji wanachonga.

Hapo zamani kabla ya miaka ya 2000 nakumbuka binti akiingia kanisani kavaa sketi inayovuka magoti kwenda juu, sketi ndefu yenye mpasuko, gauni linalochoresha, suruali, n.k. huyu alitolewa nje kabisa ama kuvalishwa kanga, Leo hii ni jambo la kawaida kabisa wanawake kuingia kanisani na magauni yanayowachoresha makalio na hips, wengine huingia na suruali zinawachoresha hadi mapaja.

Wanawake wamepotoshana kwamba Mungu anaangalia roho haangalii mavazi, Wachungaji nao wapo kimya , Hebu angalia hii picha kweli ni hapahapa Tz mtu katoka kanisani huyu na kanisa limemruhusu aingie,

Photo by MOCU KCMC MWENGE MWEKA IAA TUMA on August 12, 2023. May be an image of 1 person and d...jpg

KUANZISHA MAKANISA YA HOVYO

Kina George Devie wa Arusha wanaweka mashindano ya umisi kwa mabinti waliovaa nusu uchi wanapita mbele sehemu ya kuhubiria ,n.k. Kondoo waliopotea wanaotaka kutafuta njia wanaenda kupotezwa zaidi na wachungaji hawa.

ssd.JPG

Leo hii hata kina Masanja wana makanisa yao ya kikristo, anahubiri huku kavaa mlegezo anajitetea eti kanisa ni free ufanye chochote,

sdd.png

KUKALIA KIMYA MAMBO YA USHOGA / USAGAJI

0_E63m827VIupncPFp.jpg

Hadi Papa amekuwa ni mtu wa kuwasapoti mashoga na wasagaji, maana hakamei ! Ni kama vile Papa hili suala kalipa baraka zote. Mara utasikia anasema hawana kosa, muwakaribishe makanisani, DUH !! kuna makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja,

popa gee.mp4-00_00_10-00007.png

Huu usodoma na ugomora tunapoona haukemewi ni sawa na kuuhalalisha, Nao mashoga wamepata jeuri wanatembea vifua mbele siku hizi kwamba hata Papa yupo upande wao,

SHERIA ZA KANISANI KUTOFATWA

Ni kawaida kukuta mvulana kanyoa kiduku tena cha rasta anapewa komnio.

271259277_1316092545567752_1688629169516896199_n.jpg

Makanisa kama Lutheren KKKT wamebadili sheria kuruhusu wanawake hata waliopo kwenye mzunguko wanahubiri
 
Siku hizi hadi wasabato tumevamiwa kanisani

Mabinti wana marasta, lipstic na vimini vya kufa mtu

Makanisa yamepungua sana nguvu za kukemea maovu.

Zamani kwenye usabato ulikuwa kanisani uingii ukiwa hivyo.
 
Naziona athari za kuuzwa bandari..😅😅😅

Hivi sketi ikivuka magoti ifike huko miguuni unatolewaje kanisani?
Screenshot_20230825-230428.png
 
Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani hivyo hata wakijaza sishangai

MAVAZI

Hapo zamani kabla ya miaka ya 2000 nakumbuka binti akiingia kanisani kavaa sketi inayovuka magoti kwenda juu, sketi ndefu yenye mpasuko, gauni linalochoresha, suruali, n.k. huyu alitolewa nje kabisa ama kuvalishwa kanga, Leo hii ni jambo la kawaida kabisa wanawake kuingia kanisani na magauni yanayowachoresha makalio na hips, wengine huingia na suruali zinawachoresha hadi mapaja.

KUANZISHA MAKANISA YA HOVYO

Leo hii hata kina Masanja wana makanisa yao, Mtu anahubiri huku kavaa mlegezo anajitetea eti kanisa ni free ufanye chochote, Kina Heordevie wanaweka mashindano ya umisi kwa mabinti waliovaa nusu uchi wanapita mbele sehemu ya kuhubiria ,n.k. Kondoo waliopotea wanaotaka kutafuta njia wanaenda kupotezwa zaidi na wachungaji hawa.
 
Tofauti ya wasabato na makanisa ya jumapili siku hizi labda ni siku tu
Hapa ndiyo unahubiri uislamu. Umeandika vifungu vingi vya Quran na watu wamekuelewa.
Kama uislamu unahubiriwa kwa namna hii, utafika mbali sana
Hongera sana shekhe.😁😁😁😁
 
Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani hivyo hata wakijaza sishangai

MAVAZI

Hapo zamani kabla ya miaka ya 2000 nakumbuka binti akiingia kanisani kavaa sketi inayovuka magoti kwenda juu, sketi ndefu yenye mpasuko, gauni linalochoresha, suruali, n.k. huyu alitolewa nje kabisa ama kuvalishwa kanga, Leo hii ni jambo la kawaida kabisa wanawake kuingia kanisani na magauni yanayowachoresha makalio na hips, wengine huingia na suruali zinawachoresha hadi mapaja.

Wanawake wamepotoshana kwamba Mungu anaangalia roho haangalii mavazi, Wachungaji nao wapo kimyaa, Tunakolekea ni kubaya sana.

KUANZISHA MAKANISA YA HOVYO

Leo hii hata kina Masanja wana makanisa yao, Mtu anahubiri huku kavaa mlegezo anajitetea eti kanisa ni free ufanye chochote, Kina Geord evie wa Arusha wanaweka mashindano ya umisi kwa mabinti waliovaa nusu uchi wanapita mbele sehemu ya kuhubiria ,n.k. Kondoo waliopotea wanaotaka kutafuta njia wanaenda kupotezwa zaidi na wachungaji hawa.

KUKALIA KIMYA MAMBO YA USHOGA / USAGAJI

Hadi Papa amekuwa ni mtu wa kuwasapoti mashoga na wasagaji, maana hakamei ! Mara utasikia anasema hawana kosa, muwakaribishe makanisani, DUH !! kumbuka hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja, Papa hili suala kalipa baraka zote. na sio kwa waroma tu, ni makanisa Mengi tu.

Huu usodoma na ugomora tunapoona haukemewi ni sawa na kuuhalalisha,

SHERIA ZA KANISANI KUTOFATWA

Ni kawaida kukuta mtoto kanyoa kiduku tena cha rasta anapewa komnio, wala hakuna hata maswali.
Makanisa kama Lutheren KKKT wamebadili sheria kuruhusu wanawake hata waliopo kwenye mzunguko wanahubiri.
 
1. Uislamu ni dini ambayo mafundisho yake hayajitoshelezi.
Uislamu hauna mafundisho yanayojitosheleza yaani kuhubiri mafundisho yake kwa kujitegemea ndiyo maana ili uhubiri uislamu lazima ukashifu ukristo.
2. Uislamu upo kwa ajili ya kuukashifu ukristo wala siyo kuhubiri watu waache dhambi. Huko uarabuni wanauana kila kukicha na wote ni waislamu. Libya, Sudani na Nigeria ni vurugu tu. Adui mkubwa wa uislamu ni ukristo na siyo dhambi ndiyo maana kwao kumiliki mahakama ya kadhi siyo dhambi. Muislamu yoyote ili aweze kuhubiri uislamu lazima aukashifu ukristo ili aeneze uislamu. Muislamu ndugu yake ni muislamu
3. Waislamu ni weupe sana vichwani, hawezi kuhifadhi aya za Quran ila atahifadhi mistari ya Biblia ili kuukashifu ukristo. Wao wanaangalia wakristo wanafanya nini ili waukashifu wapate waumini.
Huko kwa waislamu wengi hakuna magereza, hakuna mahakama, watu hawaoneani wivu, hawauani?
 
Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani hivyo hata wakijaza sishangai

MAVAZI

Hapo zamani kabla ya miaka ya 2000 nakumbuka binti akiingia kanisani kavaa sketi inayovuka magoti kwenda juu, sketi ndefu yenye mpasuko, gauni linalochoresha, suruali, n.k. huyu alitolewa nje kabisa ama kuvalishwa kanga, Leo hii ni jambo la kawaida kabisa wanawake kuingia kanisani na magauni yanayowachoresha makalio na hips, wengine huingia na suruali zinawachoresha hadi mapaja.

Wanawake wamepotoshana kwamba Mungu anaangalia roho haangalii mavazi, Wachungaji nao wapo kimyaa, Tunakolekea ni kubaya sana.

KUANZISHA MAKANISA YA HOVYO

Leo hii hata kina Masanja wana makanisa yao, Mtu anahubiri huku kavaa mlegezo anajitetea eti kanisa ni free ufanye chochote, Kina Geord evie wa Arusha wanaweka mashindano ya umisi kwa mabinti waliovaa nusu uchi wanapita mbele sehemu ya kuhubiria ,n.k. Kondoo waliopotea wanaotaka kutafuta njia wanaenda kupotezwa zaidi na wachungaji hawa.

KUKALIA KIMYA MAMBO YA USHOGA / USAGAJI

Hadi Papa amekuwa ni mtu wa kuwasapoti mashoga na wasagaji, maana hakamei ! Mara utasikia anasema hawana kosa, muwakaribishe makanisani, DUH !! kumbuka hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja, Papa hili suala kalipa baraka zote. na sio kwa waroma tu, ni makanisa Mengi tu.

Huu usodoma na ugomora tunapoona haukemewi ni sawa na kuuhalalisha, Nao mashoga wamepata jeuri wanatembea vifua mbele siku hizi kwamba hata Papa yupo upande wao,

SHERIA ZA KANISANI KUTOFATWA

Ni kawaida kukuta mvulana kanyoa kiduku tena cha rasta anapewa komnio.

Makanisa kama Lutheren KKKT wamebadili sheria kuruhusu wanawake hata waliopo kwenye mzunguko wanahubiri
Acha kuhukumu wew sio mungu dini sio kigezo cha kukupeleka mbinguni muhimu ni imani yako
 
Story ya kweli.
Kisa cha kwanza
Kuna siku nilikuwa nasafiri natoka mkoa mmoja naenda mkoa mwingine. Nauli yake ni 7,000 kwa basi kubwa au dogo.
Basi ikapita Noah, ikawa inaita abiria anayetaka kwenda. Nikamuuliza nauli ni shilingi ngapi, akasema ni ya basi.
Nikapanda, nikampa 10,000 nategemea atakata 7,000 anang'ang'ania hela yote 10,000. Nikamwambia hela ya basi ni 7,000. Tukazozana sana pale. Akasema ni 8,000. Nikamwambia haina noma. Akanirudishia 2,000. Nikasema haina noma.
Tumeenda njiani naona mtu anaswali, anaomba dua, halafu anajiita shekh, nikastaajabu sana. Huyu anaswali halafu ametoka kunidhulumu tena alitaka kuchukua 10,000 yote mpk tumezozana na bado kunirudishia chenji bado amenidhulumu. Nikastaajabu sana. Ukimuona anajiita shekh muislamu safi. Siku narudi, nikapanda Coastal, nauli ni 7,000 tena ina video kbsa. Lkn yule shekh alinidhulumu 1000. Tena bila kuzozana alikuwa anataka kuchukua 10,000 yote.
Kisa cha pili
Nipo nafanya kazi ya ujenzi kwa shekh mmoja hivi. Hapo amevaa kanzu, tena ni wale wa swala 5 mpk ana alama nyeusi kwenye paji lake.
Naendelea na kazi, namuona shekh anakunywa chai, hata kusema karibu chai hakuna, akanywa akamaliza. Hata kusema, huyu mpe chai anywe hapana. Nyumba yote ni waislamu. Nikasema kweli uislamu ni dini ya haki
Kisa cha tatu
Hapa nilipo kuna ndoa mbili za waislamu zimevunjika. Ndoa ya kwanza, walikuwa wanapigana ngumi mke na mume ikavujika. Ndoa ya pili mume na mke walikuwa wanatukana baadae wakaachana, akamuoa mwingine wakaachana. Sasa hivi yupo single, na wale wa ndoa ya kwanza, bado hawajarudiana. Kila mtu na maisha yake
Kisa cha nne.
Nilishawahi kulala na mke wa muislamu. Tena walifunga ndoa kbsa, tena mwanamke alikuwa ananiambia yeye ameolewa na alikuja mkoani kusalimia. Ni pisi kali hivi
Kisa cha tano.
Kuna siku nilienda dukani kununua mahitaji, sasa akaja binti amevaa kininja. Alivyofika akamsalimia mwenye duka, asalamalykumu (sijui nimepatia). Mwenye duka akaitikia. Akakaa kimya.
Nimemaliza kuhudumiwa nikaondoka, hakunisalimia. Nikajua muislamu ni ndugu yake muislamu. Nikajiuliza kuna imani zingine za ajabu sana.
Kisa cha sita
Hapa mtaani kwetu kunamwanamke wa kiislamu, ana watoto wawili. Kila mtoto na baba yake. Ndoa yao imevunjika ila huyu mwanamke ukimtaka ni hela yako tu.

Hawa ni waislamu safi wamefanya hivyo. Sijui huko misikitini huwa wanaaambiwa wafanye hivyo
 
1. Uislamu ni dini ambayo mafundisho yake hayajitoshelezi.
Uislamu hauna mafundisho yanayojitosheleza yaani kuhubiri mafundisho yake kwa kujitegemea ndiyo maana ili uhubiri uislamu lazima ukashifu ukristo.
2. Uislamu upo kwa ajili ya kuukashifu ukristo wala siyo kuhubiri watu waache dhambi. Huko uarabuni wanauana kila kukicha na wote ni waislamu. Libya, Sudani na Nigeria ni vurugu tu. Adui mkubwa wa uislamu ni ukristo na siyo dhambi ndiyo maana kwao kumiliki mahakama ya kadhi siyo dhambi. Muislamu yoyote ili aweze kuhubiri uislamu lazima aukashifu ukristo ili aeneze uislamu. Muislamu ndugu yake ni muislamu
3. Waislamu ni weupe sana vichwani, hawezi kuhifadhi aya za Quran ila atahifadhi mistari ya Biblia ili kuukashifu ukristo. Wao wanaangalia wakristo wanafanya nini ili waukashifu wapate waumini.
Huko kwa waislamu wengi hakuna magereza, hakuna mahakama, watu hawaoneani wivu, hawauani?
Hii imekujaje jamani?

Mbona panic jamani😅😅huyo aliandika hapo pambana nae .
 
Story ya kweli.
1. Kuna siku nilikuwa nasafiri natoka mkoa mmoja naenda mkoa mwingine. Nauli yake ni 7,000 kwa basi kubwa au ndogo.
Basi ikapita Noah, ikawa inaita abiria anayetaka kwenda. Nikamuuliza nauli ni shilingi ngapi, akasema ni ya basi.
Nikapanda, nikampa 10,000 nategemea atakata 7,000 anang'ang'ania hela yote. Nikamwambia hela ya basi ni 7,000. Tukazozana sana pale. Akasema ni 8,000. Nikamwambia haina noma. Akaniridishia 2,000. Nikasema haina noma.
Tumeenda njia naona mtu anaswali, anaomba dua, nikastaajabu sana. Huyu anaswali halafu ametoka kunidhurumu tena alitaka kuchukua 10,000 yote mpk tumezozana na bado kunirudishia chenji bado amenidhulumu. Nikastaajabu sana
Pole sana kaka huyo alikuwa ana Tamaa
 
Na mimi nikiwa miongoni mwao nina mwaka mzima sina habari ya kanisa ila lazima nisali kila siku na mara kadhaa kuisoma biblia.

Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani hivyo hata wakijaza sishangai

MAVAZI

Hapo zamani kabla ya miaka ya 2000 nakumbuka binti akiingia kanisani kavaa sketi inayovuka magoti kwenda juu, sketi ndefu yenye mpasuko, gauni linalochoresha, suruali, n.k. huyu alitolewa nje kabisa ama kuvalishwa kanga, Leo hii ni jambo la kawaida kabisa wanawake kuingia kanisani na magauni yanayowachoresha makalio na hips, wengine huingia na suruali zinawachoresha hadi mapaja.

Wanawake wamepotoshana kwamba Mungu anaangalia roho haangalii mavazi, Wachungaji nao wapo kimya , Hebu angalia hii picha kweli ni hapahapa Tz mtu katoka kanisani huyu na kanisa limemruhusu aingie,

View attachment 2728927

KUANZISHA MAKANISA YA HOVYO

Kina George Devie wa Arusha wanaweka mashindano ya umisi kwa mabinti waliovaa nusu uchi wanapita mbele sehemu ya kuhubiria ,n.k. Kondoo waliopotea wanaotaka kutafuta njia wanaenda kupotezwa zaidi na wachungaji hawa.

View attachment 2728928

Leo hii hata kina Masanja wana makanisa yao ya kikristo, anahubiri huku kavaa mlegezo anajitetea eti kanisa ni free ufanye chochote,

View attachment 2728930

KUKALIA KIMYA MAMBO YA USHOGA / USAGAJI

View attachment 2728931

Hadi Papa amekuwa ni mtu wa kuwasapoti mashoga na wasagaji, maana hakamei ! Mara utasikia anasema hawana kosa, muwakaribishe makanisani, DUH !! kumbuka hapa kuna makanisa ya kikatoliki yanafungisha ndoa za jinsia moja, Papa hili suala kalipa baraka zote. na sio kwa waroma tu, ni makanisa Mengi tu.

Huu usodoma na ugomora tunapoona haukemewi ni sawa na kuuhalalisha, Nao mashoga wamepata jeuri wanatembea vifua mbele siku hizi kwamba hata Papa yupo upande wao,

SHERIA ZA KANISANI KUTOFATWA

Ni kawaida kukuta mvulana kanyoa kiduku tena cha rasta anapewa komnio.

View attachment 2728934
Makanisa kama Lutheren KKKT wamebadili sheria kuruhusu wanawake hata waliopo kwenye mzunguko wanahubiri
Napotaja agents wa ukoloni siachi kumtaja Mr religion,
Mr religion akitajwa na akakubalika , napataje ujasiri wa kuendekeza madhaifa yalonifikisha hapa nlipo
 
Back
Top Bottom