makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Songea: Makanisa mawili yateketezwa kwa moto

    Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church katika Kata ya Mshangano wilayani Songea mkoani Ruvuma yamechomwa moto na kuzua taharuki na wasiwasi miongoni mwa wananchi. Makanisa mawili ya Pentekoste Tanzania (KLPT) na Tanzania Calvary Tabelinacle Church...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Je, misamaha ya kodi za majengo imefutwa kwenye Shule za kata, Misikiti, Makanisa, Mochwari, Vyoo vya Umma n.k ?

  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani ipo wapi wakati huu Polisi wakivamia makanisa na kuvuruga ibada?

    Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na kukamata watu kwa kisingizio kuwa wamevaa nguo za CHADEMA. Toka lini ikawa ni utaratibu kwa polisi...
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na RITA hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
  7. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

    Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya By Mgongo Kaitira Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Jackson Senyonga asherekea kifo cha TB Joshua, adai alikuwa Nabii wa uongo

    Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu. 1:waroma. 2:Waprotestanti Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania. Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
  9. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

    Wakuu, ni dhahiri kuwa kuna makanisa yanaibuka sasa kama uyoga. Sioni shida kuibuka kwa makanisa kila kukicha, kwasababu hata baa mpya zinaibuka kila siku. Pamoja na yote, haya makanisa kuna baadhi yana vituko sana, yaani Mtumishi anaweza kuwa Mtume, Nabii au Mchungaji lakini mambo wanayofanya...
  10. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

    Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Back
Top Bottom