makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote mlikotokea TAG. Mnaichosha Serikali na migogoro yenu isoyoisha

    Katika kanisa linaloongoza sasa hivi kwa migogoro ya wenyewe kwa wenyewe ni EAGT. Inaonyesha kabisa hawawezi kujisimamia kutwa kusumbua Serikali na msajili. Hilo kanisa la EAGT walitokea Kanisa la TAG .Kule TAG kuna utulivu mkubwa na hakuna migogoro Kanisa la EAGT rudisheni makanisa yenu yote...
  2. Faana

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanamke Aliyeolewa na Anasali Makanisa ya Kiroho na Kinabii Anaonekana na Mume wa Mtu Lodge

    Nimemsikia mtu mmoja hapa Mawasiliano daladala terminal akiongea kwenye simu na mwenzake kuwa kuna wawili hao wameonekana mitaa yenye utata na huku wakitokea madhehebu anayoabudu shuhuda, nguvu ya ya asili inaweza kuwa na influence ya kiasi hicho mpaka Mungu asahaulike!?
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

    Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza mfumo wa usimamizi wa makanisa

    Habarini ndugu wa jukwaa hili la Tech, nimeleta mfumo wa usimamizi wa taasisi za kidini hususani makanisa. Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mifumo rasmi ya usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo ambapo kwa sasa mfumo huu...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za kiislam kuna Christianphobia (Uoga wa ukristo kuwa na waumini wengi) mpaka kupelekea kukataza makanisa kujengwa ?

    Phobia ni hali ya kuogopa kitu kigeni kitakuwa na mafanikio kuliko chako, phobia katika dini ni dhana ya uoga wamba dini flani itafanikiwa kuzidi yako, hivyo hatua inabidi zichukuliwe ili kuzuia hata kama ni nje ya maandiko matakatifu. naonaga watu wanasema kuna islamaphobia lakini kiukweli...
  6. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Kila aliyewahi kwenda kwa waganga wanaotumia ramli anamajini. Hili hapa suluhisho.

    Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili. 1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho. Sizungumzii hawa... 2: Kundi kubwa LA...
  7. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makanisa: Picha za majengo ya makanisa

    Katika pita pita zangu nimejikuta naanza kuvutiwa na designs zinazojitokeza kila siku za makanisa, ujenzi wako una staajabisha sana, tuoneshe jengo la kanisa la huko kwenu ikipendeza tupe picha za ndani na nje hata historia kidogo. Hii ni RC Geita, hili ni jipya kabisa Hii ni RC Kibosho...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

    Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo. Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa. Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

    Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar. Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania Sisali katika makanisa yao, ila naeshimu imani zao, watendewe haki

    WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi. Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza. Leo Tanzania tupo na dini nyingi ambazo zimebeba imani za watu mbalimbali, na sio mbaya Kama hakuna hukiukwaji wa SHERIA za nchi maana...
  11. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Eucemism na Muungajo wa Makanisa

    Baraza la Umoja wa Makanisa Ulimwenguni (World Council of Churches – WCC) liliundwa kikatiba kule Amsterdam, Uholanzi, August 23, 1948. Limejengwa na matawi ya jumuiya mbalimbali zinazotawaliwa na WCC. Lengo la WCC ni kuunganisha dini zote za ulimwengu katika fungate la kiekumene – au Kanisa...
  12. FabNXTzqEtcgazfbjjfo

    JamiiForums Tanzania Makanisa Nchini Mjitafakari

    DELETED
  13. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Michango makanisani chanzo umaskini

    Hivi ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi michango makanisani imekuwa mingi kuliko miaka ya zamani ?? Siku hizi kumekuwa na michango mingi sana makanisani kiasi kwamba hupelekea baadhi ya waumini kuacha kuhudhuria makanisani kwaajiri ya ibada Halafu Kuna tabia moja imezuka kwamba inapotokea...
  14. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Freemasons ndani ya Makanisa

    UTANGULIZI ISAYA 14 12 Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! 13 Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kabla ya kugunduliwa kwa ma- ‘speaker’ makubwa yenye mshindo, makanisa ya kilokole yalijiendeshaje?

    Yaani walikuwa wanaendeshaje endeshaje shughuli zao za ibada? Kwamba wanaemuabudu alianza kupoteza uwezo wake wa kusikia au ilianzaje anzaje hii hali?
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Twitter: Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea ufahari na utajiri wa watu

    Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea Ufahari na Utajiri wa watu. Aliyetoa msaada wa Mabenchi anataka jina lake liandikwe kwenye mabenchi hayo, anayetoa msaada wa Vigae anataka jina lake litajwe mbele ya waumini wote na apigiwe makofi nk. Wewe usiye na uwezo huna nafasi tena.
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya. Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha. Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Makanisa

    Makanisa Makubwa kama RC, KKKT, Anglican, Sabato na Moravian wanekuwa wakijitambulisha katika Lugha inayoeleweka na wengi. Hata ktk Mabango yao utakuta yameandikwa Kiswahili Mfano kanisa Katoliki....., Kanisa la Kiinjilisti la Kilutheri Tayosisi.... nk. Lakini haya makanisa mengine unakuta...
  20. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Back
Top Bottom