makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  2. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  3. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule. Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho yaanze mfumo wa kuhakiki sadaka na matumizi yake kudhibiti wahubiri matapeli

    Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa lilipiga vita umasikini, makanisa ya leo mbona tofauti sana?

    Leo nimewiwa mno kulitafakari kanisa la zamani, la enzi za akina Petro na Paulo. Paulo anakiri wazi, "Yesu Kristo alikuwa masikini, ili sisi tuwe matajiri". Paulo aliongoza michango MINGI kutoka kwa waumini wale MATAJIRI, ili kuwachangia/kuwainua waumini MASIKINI. Leo hii haya mbona...
  6. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

    Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon 🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon. How could any Christian support these satanic terrorists?
  7. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Makanisa ya taasisi (umma) ajirini kampuni za usafi na siyo kuwapangia zamu wauumini

    Wakuu ni kama mawazo maoni au ushauri. Kuwepo na baadhi ya makanisani ya umma yenye majina makubwa Jumapili sadaka ya jumla ikisomwa si chini ya million 3, 5, adi kumi kwa yalio mjini, ila usafi unafanywa na waumini kwa kupitia jumuia. Utakuta jumuiya flani ina zamu ya usafi, pesa zote zinazo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

    Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao. Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo

    Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru Wananchi kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu. Amezitaka Taasisi Dini Wilayani Meatu kuwa Mfano wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi walindwe ili wanufaikaji wa makanisa na misikiti wasiwadhuru

    Habari ndugu, Wachokonozi ni vijana wa kitanzania wanaotengeneza digital contents kwenye social media. Hawa vijana wana talent ya ajabu sana. Wanakufanya ufikilie nje ya box. Mambo mengi yaliyofichwa kwenye makanisa, misikiti na Dini kwa ujumla, Hawa jamaa wameyaweka wazi. Kama ilivyo...
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Haki huinua taifa MITHALI 14:34 Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti. (CPCT) mko wapi?

    Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa? Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
  13. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kutoza Kodi mapato ya makanisa maana imekuwa biashara sasa.

    Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  15. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
  16. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100 iliyokiuka vigezo vya usalama

    Zaidi ya makanisa 4,000 yamefungwa mwezi uliopita nchini Rwanda kwa kushindwa kufuata kanuni za afya na usalama, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na ufunikaji sauti mzuri. Hii imeathiri hasa makanisa madogo ya Kipentekoste na misikiti michache - baadhi yao yakiwa yanafanya shughuli zao ndani ya...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na Serikali kufungia Makanisa yasiyokidhi viwango vya kutoa huduma za kiroho

    Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya...
  18. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Nawaonya vijana wa leo mnaofungua makanisa kila kukicha acheni mara moja kama hamna wito, Injili sio biashara.

    Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi. Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika. Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
  19. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa makanisa, ni mbinu ya shetani?

    Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano:Pentekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk. Mwenye uelewa atujuze.
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
Back
Top Bottom