Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,033
- 2,769
Ukiiacha mbali, KKKT, Catholic, Anglican, AIC, Mennonite, Philadelphia, Sabato, TAG, na EAGT, Makanisa mengine mengi yamepewa vibali vya Ministry na sio churchers.
Ministry ni huduma inayomilikiwa na mtu Mmoja au ni maono ya mtu Mmoja lakini churchers ni missionaries ni taasisi ambazo asilimia kubwa zimetoka ng'ambo..ministry TU ndizi utawakuta waasisi wake wametoka Rukwa, Mbeya na mikoa mingine, hata TAG, ilitokea Marekani ililetwa na wamishenari mwaka 1915.
Kwa Sasa churchers usajili wake ni mgumu haupo kabisa, kilichopo ni vishikizi yaani ministry, hakuna Tena usajili wa makanisa Tanzania tañgu 1995, ila kuna vibali vya kuanzishwa huduma binafsi yaani ministry
Kwa huduma hizi za ministry zilizotapakaa Kila Kona hazina usajili Wala makao makuu popote! Ni mtu anaamka anahisi anahuduma kesho anaanza kuhubiri na tayari anakuwa Askofu!
Kwa utafiti wangu wa kina karibia makanisa 3000 hayana usajili wowote, na huduma zilizosajiliwa haziwezi kufika mia kwa Tanzania yote.
Kama Serikali na mahakama imeanza kuwafunga wachungaji hawa magerezani na bila hata faini na wapa hili kwamba wakamatwe wachungaji wote nchi nzima Kona zote ambao hawana vibali na kuwafunga magerezani lakini kumfunga Mbarikiwa peke yake kana kwamba ni huduma yake TU ndio Haina kibali nchi nzima ni uongo na unafiki mkubwa sana.
Tukitaka kuwa wachafu tuwe wachafu na tukitaka kuwa wasafi tuwe wasafi.