makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  2. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  3. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Unabii(uprophet) na uaskofu makanisa mapya unatolewa na nani?

    Kuna utitiri wa manabii na maaskofu wapya kila kukicha, wapata vipi hiyo hadhi? Na uzuri wana waumini wengi wanaoamini kisawasawa hasa mama zetu.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

    Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

    Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima. Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  7. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Makanisa yazingatie umuhimu wa Sunday Schools kwa watoto wa umri mdogo na wa kati

    Baadhi ya makanisa kupuuzia Sunday schools kwa watoto na kuwa na utamaduni wa kuwachanganya watoto na watu wazima haimjengi mtoto kimaadili, kidini, kisaikolojia na kiufahamu pia. Maana kuna mahubiri mengine yanaleta matokeo hasi kwenye ubongo wa mtoto. Mtoto lazma afundishwe katika ranks na...
  8. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

    Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua..... Austrian police warned Wednesday of a possible "Islamist-motivated attack" in Vienna against churches, citing undisclosed information received by the country's...
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania NEMC Yafunda Makanisa na kumbi yanayopiga kelele

    MEYA wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe amewataka wamiliki wa Makanisa na Misikiti mjini hapa,kufuata sheria za utunzani wa Mazingira na kuacha kuzalisha kelele chafuzi zinazobughudhi na kuleta athari kwa wananchi. Iranghe ametoa kauli hiyo mapema leo wakati akifungua semina kwa viongozi...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali ifunge makanisa yote ya uchochoroni ya manabii, wanaibia watanzania...

    Hapa nayalenga hasa yale ambayo unakuta kanisa limezungushiwa mabati tu.Kanisa halina address halafu linajiita nabii na kuanza kukusanya fedha za kuwatabiria watu. serikali ipambane na hawa au warasimishwe watozwe kodi wachangie madawa hospitalini.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mnaokwenda kwenye makanisa ya manabii, mitume, shida zenu huwa haziishi?

    Huwa kweli nacheka sana nikiwasikiliza hawa manabii, mitume siJui maaskofu wanapowaingiza watu mkenge kuwachukulia pesa zao. Utasikia kama kiPindi hiki cha mwisho wa mwaka unaambiwa kutakuwa na ibada maalumu ya kufungua malango ya mwaka mpya. Kumbuka wakati huohuo mwezi uliopita alikuja mhubiri...
  15. medisonmuta

    JamiiForums Tanzania Mieleka imehamia kwenye makanisa

    Kila mchungaji naona ana ubunifu wake kwenye kutoa burudani tofauti kwenye kanisa lake.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi za makanisa karibuni mtumie mfumo wa kidigitali kusimamia taarifa za kanisa

    Habarini! Tunazikaribisha taasisi za makanisa kutumia mfumo wa kidigitali wa ChurchMIS kusimamia taarifa za kila siku za kanisa kama vile Kuhifadhi taarifa za waumini Kuhifadhi na kufuatilia taarifa za fedha Kuhifadhi taarifa za miradi ya kanisa Kuhifadhi na kusimamia taarifa za idara...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya ajabu ajabu yanashamiri kwasababu ya Tatizo la Afya ya Akili

    Waziri Ummy amesema “Bila afya ya akili hakuna afya, lakini tunaogopa tunajificha katika kivuli cha unyanyapaa. Tutasikiliza kutoka kwa wachokoza mada tutaangalia tatizo la afya katika jamii, shuleni, afya ya akili kwa watoto, binafsi kama waziri nimeona tuvunje ukimya.” Amesema tatizo la afya...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Msingi mkubwa wa makanisa ya kilokole ya zamani ni kujitenga na uzinzi na ulevi. Sasa hivi msingi mkubwa ni kutoa sadaka

    Habari! Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone. Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

    Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kudata kwao ndiyo utawakuta wamejazana tele katika Makanisa ya Mwamposa na Mwacha

    VIKOBA, Utitiri wa madeni vimeelezwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa afya ya akili nchini, huku wanawake wakitajwa kuwa wahanga wakubwa. Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022...
Back
Top Bottom