majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Haya majina ni coincidence au ndivyo ilivyo

    Kuna majina ya hawa watu wawili, mmoja ni mwanasiasa Kwa maana ya DC na mmoja ni mwanadiplosia. Haya majina ni Godwin Gondwe na Godwin Gonde. Haya majina nimekutana nayo na kidogo yamekuwa yananichanganya.
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  4. Planeti

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia ataka majina ya waliofisadi mabilioni ya Benki kuu yawekwe hadharani, asema wale waliosimamishwa Hazina ni dagaa tu

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG. Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aina tofauti za nyumba na majina yake

  7. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

    Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa. Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  9. Mjomba ni Mama

    JamiiForums Tanzania Tazama hapa majina ya Waliochaguliwa TAMISEMI Afya na Elimu

    Selection hizi hapa
  10. msovero

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  11. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya wajumbe waliochaguliwa kuliwakilisha bunge kwenye taasisi mbalimbali

    MAJINA YA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KULIWAKILISHA BUNGE KWENYE TAASISI MBALIMBALI (A). TUME YA UTUMISHI WA BUNGE Wajumbe wanne wanaingia kwa mujibu wa nafasi zao ambao ni Spika (Mwenyekiti wa Tume), Naibu Spika (Makamu Mwenyekiti wa Tume), Waziri anayeshughulikia masuala ya Bunge na Kiongozi wa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya hapa kanda ya ziwa unaonyesha wakati wengi wa hapa hawataki daraja la Kigongo-Busisi liitwe daraja la Magufuli,wataka majina asilia

    Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili. Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
  13. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
  15. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

    Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine. Hilo pia hujitokeza kwa wasanii wa muziki, filamu na mitindo kwa lengo la kuimarisha chapa zao...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa majina haya ya wateule, vijana jiajirini mpate fedha mtateuliwa kwa hadhi za familia zenu

    Nipo mjini Dsm zamani waliliita jiji la Dsm. Nimekuja na ndege iliyonunuliwa awamu iliyopita na nimepanda madaraja mawili ya awamu ya Tano. Nilipita MFUGALE nikaiona Buguruni kwa chini ikiwa bado chakavu na yenye foleni ya malori. Baadaya nikatoka posta kwenda kunywa kahawa mlimany city nikasema...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Majina ya Magari ya TOYOTA Na maana yake

    MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE. Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake . katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
  18. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wana JF na majina yenu

    Habari zenu jamani, Wakubwa zangu Shikamooni, rika langu Mambo, wadogo zangu inakuwaje. Mi bana naomba kujua na kuuliza tu Humu Jamiiforum hayo majina mnayotumia mlikuwa mnafikilia nini au jina hilo ilikuwaje mpaka ukalitumia humu, kuna wenzangu na mimi waliandika weee wanaambiwa hilo jina lina...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

    Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia. Mhe. Restituta ametoa ushauri...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majina katika Passport na ID za Tanzania unasababisha usumbufu sana nje ya Tanzania

    Wanajamii, Unapoomba passport au ya ID, ni kawaida kuulizwa kwenye form Jina lako la Kwanza, la katikati na la Ukoo. Sasa Tatizo ni kwamba Passport au ID vikitolewa, kunakuwa hakuna utenganisho huu, bali Mambo ya Ndani na NIDA wanaamua kuunganisha jina lako la kwanza na la katikati kama jina...
Back
Top Bottom