Restituta Mbogo: Wakina Mama hakikisheni Wanaume wanaandika majina yenu pindi wanaponunua ardhi

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,189
4,101
Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia.

Mhe. Restituta ametoa ushauri huo wakati akiwasilisha hoja Bungeni, Dodoma na kueleza kuwa wakina mama huwa wana tabia ya uvivu wakuweka majina yao kwenye ardhi ilihali sheria inaruhusu watu wanawake kumiliki ardhi.

“Ningependa kutoa ushauri wa jumla kwa wakina mama wa Tanzania, waume zetu wanavyonunua ardhi na sisi tuhakikishe majina yetu yanakuwepo pale pembeni, kwasababu wamama wengi wamekuwa wakidhulumiwa nyumba na mashamba,” amesema Mbunge Taska Restituta.

Mbunge huyo ameongeza kusema kuwa, “Tusiwe wavivu kununua viwanja, tusipende kuwatuma akina baba halafu hawaandiki jina lako unakaa pale kwa miaka 40 unaonekana wewe ni mpangaji,” amesema Mhe. Restituta.

Naye Mbunge viti maalum Mhe. Sophia Mwakagenda akitoa taarifa bungeni ameungana na hoja iliyowasilishwa na Mhe. Restituta.

“Mhe. Spika lakini waume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akiwa amefariki bahati mbaya, unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako,” amesema Mhe. Sophia Mwakagenda.
 
Mhe. Restituta ametoa ushauri huo wakati akiwasilisha hoja Bungeni, Dodoma na kueleza kuwa wakina mama huwa wana tabia ya uvivu wakuweka majina yao kwenye ardhi ilihali sheria inaruhusu watu wanawake kumiliki ardhi....
I support
 
Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia.

Mhe. Restituta ametoa ushauri huo wakati akiwasilisha hoja Bungeni, Dodoma na kueleza kuwa wakina mama huwa wana tabia ya uvivu wakuweka majina yao kwenye ardhi ilihali sheria inaruhusu watu wanawake kumiliki ardhi.

“Ningependa kutoa ushauri wa jumla kwa wakina mama wa Tanzania, waume zetu wanavyonunua ardhi na sisi tuhakikishe majina yetu yanakuwepo pale pembeni, kwasababu wamama wengi wamekuwa wakidhulumiwa nyumba na mashamba,” amesema Mbunge Taska Restituta.

Mbunge huyo ameongeza kusema kuwa, “Tusiwe wavivu kununua viwanja, tusipende kuwatuma akina baba halafu hawaandiki jina lako unakaa pale kwa miaka 40 unaonekana wewe ni mpangaji,” amesema Mhe. Restituta.

Naye Mbunge viti maalum Mhe. Sophia Mwakagenda akitoa taarifa bungeni ameungana na hoja iliyowasilishwa na Mhe. Restituta.

“Mhe. Spika lakini waume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akiwa amefariki bahati mbaya, unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako,” amesema Mhe. Sophia Mwakagenda.
Kwa mamb yanavyokwenda mh 🤔🤔🤔 itabid kuwekeza kabla ya kuoa, hawa viumbe bana wakishajua ana mali au ana mgao wa mali jeuri mingi sana
 
Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua ardhi ili kuepuka matatizo ya baadaye pindi mmoja wao anapofariki dunia.
Je wanawake wanaponunua ardhi bila kuwashirikisha waume zao? Huyu asiwe bias
 
Nyakati hizi kuoa limekuwa jambo la kuogofya sana maana wanawake wameigeuza miili yao kuwa maduka na kujipatia mali.......napata kigugumizi ninapoombwa ushauri wa masuala ya kuoa maana unaweza ukamsababishia kijana wa watu matatizo makubwa sana yatakayomfanya akulaani maisha yake yote..............
 
Back
Top Bottom