majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya waliochukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais, Makamu wa Rais na Wajumbe Wawakilishi Wanawake wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT)

  2. R

    JamiiForums Tanzania Majina ya Mods wa JF

    Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi! Boqin Wand Active Diversity Panel Moderator etc etc
  3. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

    Niende moja kwa moja kwa mada. Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote. Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu majina ya hawa samaki wa ziwa Tanganyika naomba anisaidie

  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hebu sema jinsi kabila lenu linavyoharibu majina ya watu.

    Kuna makabila yamebobea katika kuharibu majina ya watu. Leo nimekumbuka William kuitwa Wile.
  6. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  7. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunawabadilisha watoto wetu majina asilia baada ya ubatizo au kubadili dini?

    Wasalaam, Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo. Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma. Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini: Je, majina yetu asilia...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake mnaotaja majina matakatifu mnaponyanduliwa, mnapata wapi huo ujasiri?

    Yaani huwa nashangaa hadi natetemeka, yaani katikati ya tukio kwenye nyumba ya wageni tena show yenyewe inahusisha kikainishi cha KY Jelly, mtu anaanza kuwataja watakatifu utadhani anawaita wadogo zake waje awagawie karanga. Heeh, hamuogopi kwamba radi inaweza kushuka iwafumueni? Hebu acheni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

    Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko. Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana. Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  12. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Landmarks za Tanzania na Majina ya Viongozi

    Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi kulipia kuwapa faru majina yao

    Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) limesema hivi karibuni litaruhusu mtu yeyote anayetaka jina lake litumike kupewa mnyama faru kufanya hivyo, lakini baada ya kulipia kiwango fulani cha fedha. Kwa sasa TANAPA inakamilisha boma la kuwahifadhi faru katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi mkoani...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
  16. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Walianzaje kupewa haya majina

    Yaani wewe kama Mzazi unaanzaje kumwita mwanao majina haya:- Musiba Masumbuko Pombe Shida Mateso Mutafungwa Kaburiwazi Sigara
  17. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa kujiunga na veta yanatoka lini?

    Wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu. Naomba kuuliza Kwa anaefahamu majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya veta January 2021 lini yatatoka? Maana tuliambiwa tarehe 1/12/2020 yatakua tayari na mpaka sasa naona kimya kwenye website yao. Ambae anafaham anisaidie tafadhali.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kama tarehe 19 Tume ilipokea barua yenye majina ya Viti Maalum toka CHADEMA. Je, ilifanya lini mashauriano na CHADEMA?

    Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua. Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
  19. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

    NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
  20. G

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

    Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja. Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
Back
Top Bottom