Jamani naomba msaada kuhusu maana ya majina haya kwa kiswahili

EMMANUEL JASIRI

Senior Member
Feb 2, 2015
127
62
Hii mimea kwa kiingereza
1.Unaitwa -chamomile

2.Unaitwa-nutmeg
nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa.
Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
 
Nutmeg sio kungu????????

Chamomile hata sijui kiswahili chake ingawa chao yake nzuri sana
 
Back
Top Bottom