majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Majina ya wapiga kura yaliyobandikwa kwenye Kituo cha Kupigia Kura hayana serial numbers, kuna nini katika hili?

    Majina ya wapiga kura katika kila kituo yamebandikwa kama wiki hivi. Ukingalia hakuna serial numbers ambazo ni muhimu kujua kila kituo kina wapiga kura wangapi. Tumeambiwa ukifika unataja serial number ya jina lako, then msimamizi inakuwa rahisi kuliona na process ya kupiga kura inakuwa rahisi...
  2. barafu

    GE2020 Mgombea Urais CCM: Msisumbuke kuangalia majina mengine kwenye karatasi ya kura, majina na wagombea wengine siyo halali, usipoteze muda kuwaangalia

    Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC wanapaswa kuliona kama sehemu ya kinyume na utaratibu, Mgombea Urais wa CCM anasema wagombea wengine...
  3. fenestra rotunda

    GE2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

    Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo. Sisikii mikakati ya CHADEMA katika hili maana kosa moja hapa linaharibu mchezo mzima. Sijajua pia...
  4. Erythrocyte

    GE2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
  5. M

    Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  6. Mwanamayu

    GE2020 Je, Tume ya Uchaguzi ya Tanzania haijandaa karatasi zenye majina ya wagombea za kupigia kura? Au zimeandaliwa za namna nyingi?

    Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
  7. Mlenge

    Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road)

    Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road) Ukiangalia ramani kwenye Uber au Bolt; Google Maps au OpenStreetMaps: Baadhi ya barabara hazina majina. Ungepewa jukumu la kuzipa majina, ni yapi ungeyatumia ili kila barabara na mtaa viwe na jina?
  8. T

    Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Mshiki: Dada Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume Haika: Asante,Jina la kike Finyaelly: Nguvu za Mungu Ndekarisho: Ndekirwa: Nderingo: Elikunda: Mungu Kapenda Kundaelly: Mungu amependa Siaelly: Wale wanajua maana waongeze hapa
Back
Top Bottom