Hapo zamani kila mtu ambae jina lake lilianzia "Mwa" nilidhani ni mnyakyusa, ila baada ya muda nikajua kwamba watu wenye haya majina wamesambaa makabila mengi ya Mbeya, Iringa na Njombe
Wanyakyusa wapo kina Mwakyusa,
Wahehe wapo kina mwakatundu (mfano msanii mike tee)
Wabena wapo kina...
Kumekua na dhana ya muda mrefu ya kwamba jina analopewa mtu huwa lina athiri haiba yake. Hii inapelekea watu kuwapa watoto wao majina yanayoambatana na watu waliofanikiwa ili wafanikiwe pia.
Lakini pamoja na hayo nimekua nikiona kunabaadhi ya watu hawaendani na majina. Mf. unakuta mtu anaitwa...
Habari wakuu.
Naomba kuuliza, wakati napita jkt mujibu wa Sheria walitupa vyet vya jkt lakini kwa bahati mbaya wakati wanatupa Mimi jina langu la mwisho katika majina matatu lilikosewa kipindi kilee, kutokana na Mambo mengi wakati natoka kambini nilishindwa kufuata taratibu kurekebisha jina la...
Jina ni neno au maneno anayopewa mtu au kitu au hali Fulani
Nataka kujikita kwenye jina tunalopeana watu.
Kwanini Waafrika tunapenda sana kuwapa watoto wetu majina ya Ulaya, Asia n.k., lakini sisi tuna maneno katika lugha za Kiafrika.
Kwanini usumbuke uingie kwenye mtandao na penginepo...
No. 14: Kipanga WA darasa
No. 15: Kilaza WA darasa.
No. 16: Mchafu WA darasa
No.17: Jamaa anae piga darasa Zima.
Na. 18: Ronaldo wa Darasa.
No. 19: Msanii wa darasa
No. 20: mvuta bangi WA darasa.
21: Tolu wa Darasa.
22: Big wa darasa.
23. Mtu mfupi WA darasa.
24. Black WA darasa.
25...
Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020?
Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president?
Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
Wakuu nauliza naweza weka jina 3 na lisilete shida yeyote kwenye mfumo wa kiserikali ikiwa vyeti vyangu vya shule na chuo vina majina mawili.
Wanasheria naombeni hatua ya kwanza kufanya ili niweze kuwa na majina matatu kwenye mfumo wangu wa majina.
Pia nauliza Kama haiwezi leta shida katika...
Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo.
Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China.
I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao.
Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote .
Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda
Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
Sio mbaya leo weekend tukakumbushana majina mbadala ya timu za mpira wa miguu hasa za bara letu la Afrika.
Itapendeza Ukataja bila kuzama Google we taja ukikosea watakuja wengine kufanya marekebisho ukitwambia na maana yake itapendeza zaidi,kwa kuwa mfano naanza Mimi.
Taifa Stars - Tanzania...
Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake
Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama
Mwalimu nyerere memorial academy
Mwalimu nyerere international airport
Nyerere hydroelectric power
Nyerere...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.