maji

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

    Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar. Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
  2. abudist

    JamiiForums Kokoto zinazonyonya maji kupeleka ardhini zipoje na zinapatikana wapi?

    Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini. Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua ikiwa imepiga kubwa yanachelewa kukauka mferejini. Na hamna sehemu ya kuyatoa zaidi ya hapo maana mbele...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Dar: Nyumba 16 zasombwa na maji baada ya mto kutanuka

    Baadhi ya wakazi wa Kimara Kibo, Dar es Salaam wanaoishi kando ya mto Gide wamelazimika kuhama baada ya mto huo kutanuka na kusomba nyumba 16. Waathirika wa tukio hilo wameomba msaada kwa wakati huu ambao baadhi yao wanahifadhiwa kwa majirani huku wengine wakisemekana kufariki kwa mshtuko...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Naibu Waziri avunja bodi ya Maji Mbeya na kuagiza meneja wa RUWASA kusimamishwa kazi kwa kushindwa kutatua kero za Wananchi na kutoa ripoti za uongo

    Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Happy birthday Mwaka Mpya: Nimemwagiwa maji kitandani

    Sina zaidi ya salaam maana naona ata uvivu kuandika, nasema haiwezekani Leo nipo nimelala zangu kitandani mara naskia Mwaaaaa nakurupuka ni nini nakutana na kitu maji yamejaa kitandani sio godolo sio shuka vyote chapa chap, nauliza kulikoni eti siku yangu ya kuzaliwa, Tena angalau wangechukua...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Serikali yavunja mkataba na Mkandarasi wa mradi wa maji Same - Korogwe kwa kushindwa kuukamilisha kwa wakati

    Serikali imevunja mkataba na Mkandarasi aliyekuwa akitekeleza mradi mkubwa wa maji wa Same, Mwanga na korogwe, kutokana na kushindwa kuukamilisha kwa wakati. Mradi huo ambao umegharimu zaidi ya Sh bilioni 262, ulipaswa kukamilika Mwaka 2017 na kuhudumia jumla ya wananchi 438,000. Waziri wa...
  7. N

    JamiiForums Mwanafunzi mwingine(Ilboru) afa maji akiogelea St. Gaspar Hotel dodoma

    Wimbi la wanafunzi kufa maji wakiogelea mkoan dodoma linazidi kushika kasi ambapo Jana jioni mwanafunzi mmoja wa ilboru kidato cha 5 aitwae Francis amefariki akiwa anaogelea katika hotel maarufu ya St Gasper iliyopo dodoma baada ya kunywa maji mengi na kusababisha kifo chake. Mwanafunzi huyo...
  8. C

    JamiiForums Simu (Tecno Pouvoir 3) ilidondoka kwenye maji, Je, kuna uwezekano ikarejea katika hali yake ya kawaida?

    Kama kichwa hicho cha uzi kinavyojieleza hapo juu Ni kwamba hiyo simu ilidondoka kwenye maji mtoni ikaja kupatikana baada ya saa kama 1 hivi baadae Je, kuna uwezekano ikarejea hali yake ya kufanya kazi kama mwanzo au tu niachane nayo nisije nikapoteza pesa na mafundi pamoja na muda wangu?
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

    Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo. DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil 5.4 ambazo zilipatikana kwa biashara haramu ya upatu. Mimi kama mkazi wa mkoa wa Geita, eneo la...
  10. beth

    JamiiForums Wakandarasi wa miradi ya maji waonywa kufanya kazi kwa mazoea

    Serikali imewataka wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa miradi ya maji nchini kuacha siasa na kufanyakazi kwa mazoea. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa maji, Mhandisi Marry Prisca Mahundi wakati akiongea na wananchi wa kata ya Sakura wilayani Pangani mkoani Tanga akiwa katika ziara yake ya...
  11. ASHA NGEDELE

    JamiiForums Upungufu wa maua jike-Kilimo cha tikiti maji

    Habari wakulima wenzangu, Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka. Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha maua mengi sana lakini maua dume kwahio mpaka sasa matunda yalozalishwa ni machache sana. Hali...
  12. M

    JamiiForums Pata samaki wa maji chumvi

    Tunauza samaki wa maji chumvi Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu Kwa kilo tunauza 7500 Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua. Wasiliana nasi kwa namba 0765758624
  13. DOCTOR UZI

    JamiiForums Hivi maji ya Dodoma yana peroxide?

    Za muda huu wakuu wa mambo Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho...
  14. S

    JamiiForums ICC kesi ipo palepale - CCM vichwa anzeni kuweka maji

    Huu ukisio wa ACT kujiunga hauhusiani na majanga yaliyofanywa na CCM katika uchaguzi uliovurugika na kufunikwa na mauaji na mateso ya kila namna, tena wala msifikirie kuwa damu zilizopotea zinayeyuka kwenye upeo, huko ni kujidanganya na kujipa moyo. Kasi ya kuhakikisha haki inapatikana ipo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara. ======== NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
  16. KazidiBBM

    JamiiForums Mvuke kwenye maji ya baridi chanzo chake ni nini?

    Habari ya muda huu wanajamii, Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka. Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Maji ya kunywa ya Canadian yameanza kubandikwa nembo ya TRA kama kilevi toka nje, yapanda bei

    Nilishtuka baada ya kuona maji ya kunywa ya Canadian pure (1.25ltrs) yakipanda bei toka shs.500/= hadi 700/=. Pia nimeshangaa kuona maji yakibandikwa label ya TRA kwa kuu kwenye kizibo kama inavyokuwaga kwenye pombe kali toka nje ya nchi. Swali, mbona maji mengine hayawekewi hizo nembo? Au...
  18. SEASON 5

    JamiiForums Kwanini makampuni yana bei tofauti ya Maji yaliyo katika ujazo sawa?

    Katika kuwaza waza leo nilikua nakunywa maji yangu ya Kilimanjaro madogo ya 500ml wakati nimekaa zangu ofisini hapa sina kazi nikawa nimeishika hii chupa naisoma naipembua sioni utofauti wa material ya ziada na wengine lakini maji ya 500ml nimenunua 1000Tsh. Nikinunua 1.5ltr ya k.njaro bei yake...
  19. C

    JamiiForums Changamoto ya maji mjini Moshi

    Tokea siku ya Jumatano. Maji hayatoki kwa baadhi ya maeneo hapa Moshi. Sasa sijajua tatizo ni nini, Na mbona kama kuna tatizo, nyie idara ya usimamizi wa Maji hapa moshi mbona hamtoi taarifa ya kukatika kwa maji kwa siku zote hizo hadi kufikia leo Jumapili ni patupu. Watu wengine...
  20. sky soldier

    JamiiForums Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

    Wadau huenda labda Mimi ni mshamba. Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga Mimi ninachojua inabidi uoge mara moja kwa ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku mbili zipite Mkoa nilipo ni Mbeya, kwa sasa hali ya hewa kuna jua kali kiaina japo mvua ni hizi zinanyesha mara 2...
Back
Top Bottom