COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,808
Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA)
kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini?
-DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya kupata maji pale mnapokuwa na matatizo ya uzalishaji maji katika mitambo yenu,lakini mnakaa kimya hamtuambii ukosefu huu wa maji unasababishwa na nini na utakwisha lini!!