Majoka hayo hupandishwa kutoka kwenye maji iwe ya bahari, ziwa au mito na huonekana yamefungwa minyororo mikubwa sana inayopitiliza kwenye mawingu. Ni matukio nadra lakini huweza kushuhudiwa hasa na watu wa mahali fulani.
Vimbunga vya kwenye maji vinajulikana na wala mtu hawezi kuvichanganya na...
Nitaeleza kwa kifupi Sana!
Maana nafahamu watu wengi wanapenda mijadala ya pombe na umbea kuliko kuchangia mijadala ya haki na katiba!
JE; KITAMBI NI KOSA LA ASKARI AU LA MFUMO WA KAZI?
Watu wengi huwa wanashabikia mambo bila kuangalia kanuni za kazi zikoje!?
kazi ya Utrafiki siyo nyepesi Kama...
Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi.
Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
Samtaimz
Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu.
Sitosahau siku moja nilipomtongoza mwanamke mmoja (LIVE) mbele ya macho yake. Jibu alilonipa mpaka mzee mwenyewe akalala.
"Kalale kwanza...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili.
Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
Wanawake wanaoishi Kata ya Ngongwa wilayani Kahama, wamedaiwa kuwa hatarini kutokana na kuwapo na tishio la fisi pindi wanapofuata maji nyakati za usiku.
Imeelezwa kuwa tayari wanyama hao wameshasababisha vifo kwa wanawake wawili katika eneo hilo.
Diwani wa Ngogwa, Kamuli Mayunga, aliyasema...
Kadiri mtananage wa uchaguzi mkuu unavyokaribia Chama kikuu cha upinzani nchini kimekumbwa na kiwewe cha kisiasa. Kimekuwa hakina muelekeo wala hoja za msingi kupambana na CCM.
Utasikia kila kukicha wanaibua hoja ambazo hazina mashiko wala mvuto. Kwa ufupi wanaweweseka na kutapatapa. Kila...
Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu.
Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu,
Kiukweli she is kind, wanawake wapo wengi lakini yeye ndie nataka. Swala la sifa zake i wish ipo siku karibuni nimepanga...
Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni (usanitiise) vitu vyako ukae utulie.
Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa...
Bila kuchoshana.
Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao.
Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo?
Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call?
Pia soma Je, hii ni njia sahihi...
Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu.
Bila shaka ni wazima wa Afya
Kuhusiana na kichwa cha...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa...
Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije?
vipi huko mikoani
ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira sekta binafsi, lakini naishi nikiwa nimeshaumaliza mshahala kabla sijaupokea. Naona kabisa kwenye hii...
Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji.
Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe.
Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.