Siuzi bei hiyoLak3 kama zima ipo nije nibebe
Siuzi bei hiyo
Sim tank la Maji Lita 10000 linauzwa lipo Dar,
Bei 1,000,000, Karibuni kwa maelezo zaidi PM Pls
Ongeza mkuu beiLaki 6 nije mkuu mchana j.3 nibebe mkuu
Uende PM kwake kama upo serious!Mwisho ngap nipo serious
[emoji23][emoji23][emoji23]picha isije kuwa tank lina viraka
vya kuchomea kama grili
picha isije kuwa tank lina viraka
vya kuchomea kama
Halina kiraka ata kimoja mkuupicha isije kuwa tank lina viraka
vya kuchomea kama grili
weka picha, acha kuzunguka zungukaHalina kiraka ata kimoja mkuu
Hapana mkuu sina jengineUna mengine au nihilo tu? Mi ntahitaji lakini baada ya miezi 2 au 1