Wadau naomba kuuliza kuna jirani yangu kajenga juu ya bomba kubwa la maji la dawasa ambalo mimi nitap hapo, ma uzuri urasimishaji wa viwanja wamekataa kumpimia sababu ya kujenga juu ya miundo mbinu, ajabu ananisumbua sana mara oh anataka kujenga fensi , sasa unajengaje hali uko sehemu mbaya...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Anthony Sanga amesitisha mkataba na mkandarasi Kampuni ya PET Cooperation Ltd na Al Baruwani Investment Ltd kwa kuwa ameshindwa kukamilisha kwa wakati Mradi wa Maji wa Nyamtukuza wilayani Nyang’hwale mkoani Geita.
Msimamizi wa mradi huo, Meneja wa Wakala ya Majisafi...
Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda.
Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano;
TDS 40,
CALCIUM 4,
MAGNESIUM 12,
SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo.
Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini?
Kwenye chupa za maji...
Wana JF,
Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
WANASIASA MAJI MOTO NDIO TUNAWATAKA, MAJI BARIDI WAPUMZIKE TU
Na, Robert Heriel
Watanzania tumeshachoka na wanasiasa maji baridi, tunahitaji mabadiliko makubwa kwa wale wanaotuwakilisha. Mwanasiasa akiwa zii hata anaowaongoza huwa zii! Mwanasiasa akiwa kapooza hata wananchi wake huwa mapooza...
Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi.
Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit, kazi ya soakway pit ni kuyafyonza,kuyanyonya ua kuyanywa haya maji.. kinachofanyika kweye soakway pit...
Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi
Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni shilingi 6500
Napatikana kwa mawasiliano no 0672844844
NIPE DILI
Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini Mwanza.
Chanzo: RFA habari
===
Ufaransa yaipa Tanzania bil. 600/- za miradi mitatu
SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD)...
Mambo ni moto
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu
Bila Shaka Tutaaambiwa Mapya Mengi Kuhusu Maendeleo Ya Nchi Yetu. Pia Wakazi Wa Pembezoni Mwa Barabara Atakayopita...
Poleni na majukumu. jamani anaeweza kuniambia u tofauti kati ya mita ya biashara na ya nyumbani ya maji kwenye upande wa malipo wa uniti za maji.au hamna utofauti .
Natanguliza shukrani
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo amesema Wizara hiyo inatarajia kufanya utafiti mkubwa na usanifu wa mradi mkubwa wa maji wa kuchukua maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Mkoani Dodoma kwa kupitia Mkoani Singida katika mwaka wa fedha wa 2020/2021>>”hii itaondoa kabisa shida ya maji...
Heshima kwenu wote.
Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk
Tumeenda kwenye ofisi...
Majoka hayo hupandishwa kutoka kwenye maji iwe ya bahari, ziwa au mito na huonekana yamefungwa minyororo mikubwa sana inayopitiliza kwenye mawingu. Ni matukio nadra lakini huweza kushuhudiwa hasa na watu wa mahali fulani.
Vimbunga vya kwenye maji vinajulikana na wala mtu hawezi kuvichanganya na...
Nitaeleza kwa kifupi Sana!
Maana nafahamu watu wengi wanapenda mijadala ya pombe na umbea kuliko kuchangia mijadala ya haki na katiba!
JE; KITAMBI NI KOSA LA ASKARI AU LA MFUMO WA KAZI?
Watu wengi huwa wanashabikia mambo bila kuangalia kanuni za kazi zikoje!?
kazi ya Utrafiki siyo nyepesi Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.