maji

  1. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

    Samtaimz Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu. Sitosahau siku moja nilipomtongoza mwanamke mmoja (LIVE) mbele ya macho yake. Jibu alilonipa mpaka mzee mwenyewe akalala. "Kalale kwanza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kwa kina kuwa na "Shirika la Maji la Taifa" na pia kuanzisha "Rural Water Access Agency" ya maji vijijini kama umeme wa REA

    Watu wanasema unapokuwa na njia ambayo kwa miaka mingi haizai matunda na bado unaing'ang'ania badala ya kutafuta njia mbadala ya kutatua tatizo, wewe una tatizo la akili. Suala la upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi, mijini na vijijini, limekuwa jambo ambalo limeumiza kichwa serikali...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wauawa na fisi wakisaka maji

    Wanawake wanaoishi Kata ya Ngongwa wilayani Kahama, wamedaiwa kuwa hatarini kutokana na kuwapo na tishio la fisi pindi wanapofuata maji nyakati za usiku. Imeelezwa kuwa tayari wanyama hao wameshasababisha vifo kwa wanawake wawili katika eneo hilo. Diwani wa Ngogwa, Kamuli Mayunga, aliyasema...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakengeuka, mmekuwa kama mmepata kiwewe cha kisiasa

    Kadiri mtananage wa uchaguzi mkuu unavyokaribia Chama kikuu cha upinzani nchini kimekumbwa na kiwewe cha kisiasa. Kimekuwa hakina muelekeo wala hoja za msingi kupambana na CCM. Utasikia kila kukicha wanaibua hoja ambazo hazina mashiko wala mvuto. Kwa ufupi wanaweweseka na kutapatapa. Kila...
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

    Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu. Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu, Kiukweli she is kind, wanawake wapo wengi lakini yeye ndie nataka. Swala la sifa zake i wish ipo siku karibuni nimepanga...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya ujio wa corona ndio nimemuelewa Jacob Zuma aliposema kuhusu kuosha na maji na sabuni

    Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni (usanitiise) vitu vyako ukae utulie. Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kwenda haja ndogo chooni na kopo la maji kama wanawake?

    Bila kuchoshana. Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao. Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo? Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call? Pia soma Je, hii ni njia sahihi...
  10. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Mkambarani-Morogoro: Wizi, hujuma na ufisadi usiochukuliwa hatua na viongozi kuhusu mradi wa maji

    Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu. Bila shaka ni wazima wa Afya Kuhusiana na kichwa cha...
  11. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Maji na rambaramba vimeadimika wakati wa mchana

    Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije? vipi huko mikoani
  13. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

    ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira sekta binafsi, lakini naishi nikiwa nimeshaumaliza mshahala kabla sijaupokea. Naona kabisa kwenye hii...
  14. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maji yaadimika Nairobi

    Na hii covid-19 hawa nyang'au sijui watanawa wapi wiki hizi mbili zijazo. Wao wamekalia kuilaumu Tanzania tu.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

    Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

    YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
  17. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Awesso : " Wasoma mita za maji mnaongeza bili"

    Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka zote za Maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji mita ili kutambua gharama halisi wanazopaswa kulipa na kuepuka kubabikiziwa bili kubwa kuliko matumizi Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yazitaka mamlaka za maji kuwarejeshea huduma waliokatiwa ili waweze kukabiliana na Corona

    Naibu waziri wa maji Mh. Awesu amezitaka mamlaka za maji kuwarejeshea Huduma wale waliokatiwa na kisha kuwawekea utaratibu wa kulipa polepole. Mh Awesu amesema wakati huu wa janga hili la Corona kila mtu anapaswa kuwa na maji ya uhakika ili kuweza kukabiliana nalo. Source: Clouds tv! =====...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
  20. Victoire

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
Back
Top Bottom