Kufanya mapenzi Majini, hasa mkiwa baharini kuweni Makini

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,515
Kumekuwa na watu ambao hupenda fanya mapenzi majini hasa hasa baharini. Nliwahi shuhudia mmoja kunduchi wakati anafanya tendo hilo akabanwa na mshipa.

Alipiga kelele sana huku na mpenzi wake naye akikimbia chupi ipo upande.jamaa mashine inaonekana inatema some heavy liquid kama pua inayotokwa na makamasi.

Kumbe wakati anajikakamua ku maliza na msuli nao ukapitia pale pale.sasa akawa anachanganya sauti ya maumivu na ya ku come. Demu kugeuka hivi anakuta jamaa amekakamaa..akachomoa kukimbia nje.

But nikawa nawaza wakati wakifanya hivyo je maji hayaingii sehemu ya uzazi ya mwanamke? Na je yale maji ni salama?je hayatomwasha sababu wanasema ni ya chumvi? Lakini je wakati wa ku mpump hawezi akawa pia anachukua some uchafu nje anaingiza ndani?

Aaaah....mi sijui. Ila haya mambo sometimes ni hatari sana. Jamaa alitolewa na washkaji akapewa msaada wa kwanza.akawa sawa. Hakukaa tena yeye na yule demu wakaondoka.
 
Mambo ya beach boys hayo. Ndo unataka kujifunza kuogelea wanakuvuta mpk kwenye kina kirefu kujifanya wanakufundisha kuogelea. Halaf wanakuacha hapo unaanza kuscream msaada wao kimya. Sharti moja tu.. unatoa uroda uokolewe ama hutoi uzame ufee... acheniii. Watu wanaliwa kimasikhara hukooo...

Pole sana mkuu, vipi ni kweli maji chumvi yanaingia chumvini?
 
Mambo ya beach boys hayo. Ndo unataka kujifunza kuogelea wanakuvuta mpk kwenye kina kirefu kujifanya wanakufundisha kuogelea. Halaf wanakuacha hapo unaanza kuscream msaada wao kimya. Sharti moja tu.. unatoa uroda uokolewe ama hutoi uzame ufee... acheniii. Watu wanaliwa kimasikhara hukooo...
Hayo ndo marupurupu yao beach boys mshahara wao mdogo sana

Au nasema uongo walokole ?
 
Mambo ya beach boys hayo. Ndo unataka kujifunza kuogelea wanakuvuta mpk kwenye kina kirefu kujifanya wanakufundisha kuogelea. Halaf wanakuacha hapo unaanza kuscream msaada wao kimya. Sharti moja tu.. unatoa uroda uokolewe ama hutoi uzame ufee... acheniii. Watu wanaliwa kimasikhara hukooo...
Mwanamke bana akiwa na genye yani ataliwa tu hata na shamba boy,au yeyote.
Wengi hujipeleka huko makusudi ili wagongwe kimashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom