Ikiwa kumesalia mwezi mmoja tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu, hali ya CCM kwenye jimbo la Temeke ni dhoofuli hali, Mgombea wake aliyeshindwa kura za maoni na Abbas Mtemvu aitwaye Dorothy Kilave hawezi kushinda uchaguzi kwa vile hajulikani na wapiga kura wala hajulikani hata anakoishi, hana...
Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
Nimemuuliza jamaa yangu tuliyesoma nae yeye alikuwa bingwa wa kikariri hivyo alisoma science ya bongo.
Ni vipi nitapunguza chumvi chumvi kwenye kisima changu kaniambia nunua chumvi ya mawe kama kilo tatu halafu kamwage kwenye hicho kisima,kisha anakata simu! Sasa nimempigia saana...
Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila...
Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye...
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawe zaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke.
Hali ya jimbo la Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha...
Wadau inakuaje asee? I hope mko yechu yaani haina gweraa...Acha niende direct kwenye issue mezani...
Juzi kati hapa kunae iyo pisi Kali niliialika maskani ghetoni ndichi,pisi ni Kali laana iko vigezo kinyama,Bas huyu manzi Mshua wake anapigo za ki'whack ni mkorofi sijawahi ona Afrika Mashariki...
Jamani leo niko wilaya ya Kilosa nimepanga nyumba nzima ya peke yangu hapa Kilosa mjini mtaa wa Uhindini. Sasa maji yanatoka nje hapa kwangu usiku huu na kuna wanawake wawili wanachota maji kwa zamu mmoja anaenda mmoja anabaki, tena nje ya dirisha langu ndio kuna bomba.
Sasa namsikia kabisa...
Siku chache za nyuma nilimsikia mgombea wa urais wa CCM akiwaonya wapiga kura. Aliwaambia kwamba wasipomchagua mgombea wa CCM watakosa maendeleo. Pia alisema kwamba sababu iliyofanya eneo lao kukosa lami ni kutokana na wao kumchagua mbunge wa upinzani.
Kutokana na kauli hizo kuna mambo mawili...
Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina.
Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina tokea mwaka 2000 hadi 2020: Kuna mambo ambayo yameshangaza wataalamu wengi wa Marekani kwasababu...
Miradi hii mikubwa ya barabara, maji kumpa kura za ndiyo Mbunge anayetetea Jimbo la Ilemela, Angeline Mabula
MGOMBEA ubunge jimbo la Ilemela kupitia CCM, DK. Angeline Mabula amesema katika kipindi cha uongozi wake amefanikiwa kufanya kazi kubwa kwenye nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya...
Serikali imejenga miradi mikubwa ya maji safi na salama katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza na kufanikiwa kumaliza tatizo la ukosefu wa maji wilayani humo.
Miradi hiyo imejengwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Ilemela, Angelina Mabula ambaye kwa...
Aslalekum,
Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi.
Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
basi
ccm
cuf
jaji
john
john magufuli
jpm
lissu
lisu
maamuzi
magufuli
maji
marekani
mtu
nchi
ofisi
rais
rais magufuli
sababu
tundu lissu
uchaguzi
uingereza
urais
video
wabunge
wote
Habari wana JF,
Nilikuwa nasafisha tanki yangu ya kuifadhia maji, of cause baada ya sedimentation, ni udongo wa kutosha.
Now, natafakari mtu akinywa say litters 2000 za maji ya DAWASA kwa muda wa fulani say 20 years, si atakua amehifadhi kiasi kikubwa cha udongo achilia mbali sumu nyingine...
Siku njema ya kuzaliwa kwa Billclinton
SIJASOMA KITABU CHA MZEE MKAPA, ILA HILI SIDHANI KAMA HILI LIMEANDIKWA.
Twende pamoja kwa haya machache na mwisho uone mbwembwe za mwandishi wa habari huko AICC😄
Kama haujui, wanasema Bill Clinton ndiye rais mwenye IQ kubwa kuwahi kutokea nchini...
It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema?
Well. Tufutane ili...
CCM, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na pengine Uongozi wa Rais Magufuli ni kama Majeshi ya Pharao, yaliyokuwa yakiwafukuza wana wa Israel pasipo kuona hatari iliyokuwa mbele yao kwamba bahari imeachama na wangeweza kuangamia kwenye maji kwa kuendelea kuwafanyia vurugu wana wa Israel.
Kwa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.