Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,915
2,000
YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe.

Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa (Patient number 1) ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataambukiza tena na lockdown itahitajika tena, na baada ya kukaa lockdown miezi kadhaa idadi ya wagonjwa itashuka tena.

Ila kamwe haitafika 0, hivyo ili kunusuru uchumi itabidi tena muondoe lockdown, ambapo wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuusambaza tena na nchi itarudi tena lockdown kwa miezi kadhaa, idadi ya wagonjwa itashuka tena, na wataondoa tena lockdown ili watu wasife njaa, na wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuambukiza tena, mlipuko utarudi tena, hivyo lockdown tena itahitajika, na hii ndio YOYO effect.

Au ukitaka kuepuka YOYO effect wewe usiweke lockdown ila chukua tahadhari za social distancing, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, kuvaa barakoa na kunawa na kusanitize mikono mara nyingi uwezavyo, tembea hata na sanitizer mfukoni au ndoo ya maji na sabuni mgongoni, ili mradi mikono iwe salama, kuna mtu anaenda kuheshimika sana siku za usoni.
===============================
Update:
South Korea imekuwa nchi ya kwanza kupata YOYO EFFECT, baada ya kuondoa tu lockdown measures , mlipuko umerudi tena, na sasa wanajiandaa tena na raundi ya pili ya lockdown
================================
Update:
Sasa hivi UK wataingia kwenye YOYO effect, wanasema hali ya uchumi imekuwa mbaya mno na hali haivumiliki tena, kwahiyo itabidi watu warudi kazini huku wakichukua tahadhari ambazo hapa Tz tayari tumezichukua, na wanasema endapo wakiona hali ya maambukizi inarudi kuwa juu tena watafunga tena nchi na kuweka watu ndani kwa wiki kadhaa tena (YOYO EFFECT). Pia YOYO effect imeanza kuonekana WUHAN, case mpya 5 zimepatikana, means hao watano watakuwa wameambukiza wengine wengi, kwa sababu ni mgonjwa mmoja tu anahitajika kusababisha mlipuko.
source : BBC news
=================================
Update:
MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu - JamiiForums
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,915
2,000
YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe.

B7BAA60E-15C1-4FF9-80E5-102690235DC2.jpeg

Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa (Patient number 1) ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataambukiza tena na lockdown itahitajika tena, na baada ya kukaa lockdown miezi kadhaa idadi ya wagonjwa itashuka tena, ila kamwe haitafika 0.

Hivyo ili kunusuru uchumi itabidi tena muondoe lockdown, ambapo wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuusambaza tena na nchi itarudi tena lockdown kwa miezi kadhaa, idadi ya wagonjwa itashuka tena, na wataondoa tena lockdown ili watu wasife njaa, na wagonjwa wachache sana waliobaki wataanza kuambukiza tena, mlipuko utarudi tena, hivyo lockdown tena itahitajika, na hii ndio YOYO effect.

Au ukitaka kuepuka YOYO effect wewe usiweke lockdown ila chukua tahadhari za social distancing, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, kuvaa barakoa na kunawa na kusanitize mikono mara nyingi uwezavyo, tembea hata na sanitizer mfukoni au ndoo ya maji na sabuni mgongoni, ili mradi mikono iwe salama, kuna mtu anaenda kuheshimika sana siku za usoni.
==================================
Update:
MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu - JamiiForums
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,915
2,000
Ni vyema kila hatua inayochukuliwa ikafanyiwa hypothesis ya kinadhari tu angalau ili kuepuka kufanya vitu kwa mihemko halafu tunajikuta kwenye a vicious circle kama hiyo, nchi nyingi sasa zitalazimika kuingia kwenye mtego wa YOYO au kuachana kabisa na ideology ya lockdown
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,668
2,000
Nawaza tu,nchi zilizofanya lockdown ya muda,wasingefanya hivyo vifo vingekuwa kwa idadi gani?
Lets say China,naona kama kuiweka Lockdown Wuhan kumewasaidia sana!Isingekuwa hivyo,Leo wangekuwa wamekufa wangapi?
 
Unajua sasa hivi wanakufa wangapi? Maana idadi ya wagonjwa wakati wanatoa lockdown ni kubwa kuliko wakati wanaweka lockdown, sasa what is the logic?

Kama idadi ya wanaokufa inashuka ni kwa sababu ya social distancing, kuvaa barakoa, kunawa mikono na kuepuka mikusanyiko
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,152
2,000
Francis mimi tatizo alipo kwa huyo jamaa sijui YOYO hapana, nipo kwenye social distance hebu nipe feedback za nyomi la kariakoo au hapo kilombero sokoni arusha tutafua dafu kweli?

Acha huko angalia nyomi ya juzi wakati wa kwenda kumzika sheikh nani sijui huko Dar..!!
 
Elimu juu ya social distancing iongezwe
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
10,545
2,000
Ni vyema kila hatua inayochukuliwa ikafanyiwa hypothesis ya kinadhari tu angalau ili kuepuka kufanya vitu kwa mihemko halafu tunajikuta kwenye a vicious circle kama hiyo, nchi nyingi sasa zitalazimika kuingia kwenye mtego wa YOYO au kuachana kabisa na ideology ya lockdown
Mpaka leo wamekufa wangapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom