Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,915
2,000
Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika.

Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya kusambaa kwa virusi vya Corona ni kupitia mikono nadhani hii imesaidia sana hapa Dar watu wasife kwa maelfu kwa siku kama huko Marekani, unless Marekani haina uwezo wa kifedha wa kununua ndoo milioni kadhaa za kunawia ndani ya siku chache, nawashauri waige utaratibu huu wa kuweka ndoo za kunawia mitaani kama tulivyofanya Dar.

Pia jambo lingine linalotusaidia Dar kwa sasa ni hili la kuvaa barakoa kwa lazima, inaonekana kule Marekani barakoa ni ghali sana na kuna hatari ya watumishi wa afya kukosa barakoa endapo itatangazwa lazima kuvaa barakoa kabla ya kutoka nje.

Ndio maana wakasema kuvaa barakoa ni kwa wanaoumwa tu, lengo lao ni ili kuwaokoa watumishi wa afya ili wasikose barakoa, nitoe wito kwa serikali ya Marekani kuruhusu watu wajishonee barakoa zao wenyewe na iwe lazima kuvaa kabla ya kutoka nje.

Ifahamike kwamba unapokohoa ile barakoa inasaidia virusi visiende mbali.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
2,424
2,000
Kwasababu Marekani kuna maji tiririka, hizo ndoa unazoziona ni ushahidi wa uhaba wa maji tiririka Tanzania.
hapo umedanganya,ofisi nyingi hata huko ulaya utaratibu wa sehemu za kunawa hupo chooni ndo utakuta sehemu ya kunawa.kwa mfumo tulio weka sisi uwezi kuingia sehemu yoyote lazima unawe.
kuna mda watanzaniatu ujinga wa kuona kila tunalo fanya sio zuri kuliko la mzungu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,728

Maji tiririka yapo sehemu ya kulia chakula na jikoni katika nyumba nyingi
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,728
2,000
bado ujajibu ulicho kisema.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimesema Marekani maji kuna maji tiririka katika sehemu nyingi. Kwanza kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kila mwenye mgahawa anatakiwa kuwa na maji tiririka kwa wafanyakazi kunawa mikono.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
2,424
2,000
Nimesema Marekani maji kuna maji tiririka katika sehemu nyingi. Kwanza kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kila mwenye mgahawa anatakiwa kuwa na maji tiririka kwa wafanyakazi kunawa mikono.
ujajibu ulicho kisema.kama hupo huko kwa wenzentu na janga hili hapo mlangoni mwa benki au sehemu yoyote hicho kitiririka walijua kuna siku kitakuwa mlangoni kabla ya kuingia ndani kwenye huduma

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
6,169
2,000
Hapa Dar es salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika.
Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya kusambaa kwa virusi vya Corona ni kupitia mikono nadhani hii imesaidia sana hapa Dar watu wasife kwa maelfu kwa siku kama huko Marekani, unless Marekani haina uwezo wa kifedha wa kununua ndoo milioni kadhaa za kunawia ndani ya siku chache, nawashauri waige utaratibu huu wa kuweka ndoo za kunawia mitaani kama tulivyofanya Dar.
Pia jambo lingine linalotusaidia Dar kwa sasa ni hili la kuvaa barakoa kwa lazima, inaonekana kule Marekani barakoa ni ghali sana na kuna hatari ya watumishi wa afya kukosa barakoa endapo itatangazwa lazima kuvaa barakoa kabla ya kutoka nje, ndio maana wakasema kuvaa barakoa ni kwa wanaoumwa tu, lengo lao ni ili kuwaokoa watumishi wa afya ili wasikose barakoa, nitoe wito kwa serikali ya Marekani kuruhusu watu wajishonee barakoa zao wenyewe na iwe lazima kuvaa kabla ya kutoka nje.
Ifahamike kwamba unapokohoa ile barakoa inasaidia virusi visiende mbali.
Mkuu huko marekani ni nyumba ngapi umeziona haziko connect na water supply system,kwamba hazina maji so zilazimike kutumia ndo Kama kwenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom