Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani.
Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes)
Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili
Kulikuwa na ziwa Tandale😅
Ziwa Mwananyamala😂
Ziwa Magomeni😅
Mto Sinza😅
Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua
Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC: MADALE MWISHO
Bei 135M (Maongezi Yapo)
Mawasiliano 0748 270 719
Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika eneo Mtanana katika barabara kuu ya...
Naomba kutoa malalamiko juu ya jambo hili kwani sisi watumiaji wa maji yanayosambazwa nanyi hatuna uhakika wa usalama kwa afya zetu kwani maji ni machafu sana. Ukichota bombani yanatoka na udongo
TANGAZO LA DHARURA
KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE
14.01.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
Muda na Nguvu za Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba za Kimedani Adui yako Genius wa Afrika upo ila wa Kutumia Akili Kubwa ya Kuhifadhi Maji mengi yanayozagaa Mkoani Morogoro kutokana na Mvua na Mafuriko ili yaje kuwa Msaada kwa Wakulima Kipindi cha Ukame hatuna.
1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39.
2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake?
3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka mno mazungumzo na Sauzi na eti kuwa ni u kichwa ngumu tu, wa Sauzi kukimbilia mahakamani?
4...
Nimelipa gharama za kufungiwa maji na vifaa nimenunua tangu tarehe 2 January 2024 lakini wanazungushana kutoa mita.
Mhasibu anasema mpaka fundi aje na fundi anasema mpaka aitwe kwenye kazi. Kama vile hakuna ushirikiano wa kazi lakini wao ofisi moja.
Mbunge Cherehani: Maji ya Ziwa Victoria Kufika katika Halmashauri ya Ushetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji wa ziwa Victoria katika halmashauri ya Ushetu.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameyasema...
Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana.
Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
Hii video nimeirekodi leo hii Januari 10, 2024 nikiwa maeneo ya Shule ya Mwembetogwa, Wilayani Makambako Mkoani Njombe.
Hivi ndivyo uhalisia wa maji ulivyo kuhusu Makambako na viunga vyake mfano maeneo ya Lupila na Kitisi.
Mimi ni mgeni eneo hili nina miezi kadhaa lakini tangu nimefika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi.
Pia...
Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge!
Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi!
Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
Mwezi wa 11 nilienda Kariakoo kwenye mitaa ya Agrey na karibu mitaa yote chemba za maji taka zilikuwa zinatoa maji machafu kuashiria karo linalohofadhi maji taka hayo kuwa yamejaa.
Lakini cha kushangaza jana nimeenda tena nakutana na shida ileile, kwa maana kwamba tatizo nililolikuta mwaka jana...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji (Booster pump) kwa lengo la kuongeza upatikanaji maji katika eneo la Mavurunza kwa ajili ya kupeleka maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.